mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah imeisha hio.kama kawaida ya ccm
tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah imeisha hio.kama kawaida ya ccm
tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Tatizo ni aina ya Wabunge waliopo pale mjengoni,zaidi ya 80% hawakuchaguliwa na wapiga kura wameingizwa pale kwa mabavu ya vyombo vya dola kwa agenda moja tu ya kwenda kumuandalia mwendazake utawala wa kifalme,hivyo hawana deni kwa wapiga kura wao otherwise wangeipinga hii moja kwa moja. Ni hasara kwa Taifa letu kuwa na wabunge wengi toka CCM.Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."
"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
CCM ni ile ile,nakumbuka kwenye sakata la kikokotoo ilikuwa hivi hivi.kama kawaida ya ccm
tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Eti Rais na waziri wake wote wasomi wa uchumi!!
Nafikiri ni uchumi wa maganda ya korosho
Huku mtaani nawapa tu taarifa mpesa zishaanza kufungwa.
Failed state!
Huu ndio ukweli!Mwigulu Muongo hakuna cha Mh Rais wala nini ,Miamala imeshuka kwa kiwango kikubwa sana na kuhofia kwamba hadi kodi waliyokuwa wanaipata itashuka......Tozo ni mihimu kwa maendeleo ila waliyoiweka ni kubwa sana ,hawaoni wenzao wa REA ukinunua umeme wa elfu 1 unakatwa Tsh 25 hata mtu haufeel..
Sio kwenye siasa tu ,hii ipo Sana ndani ya jamii yetu,maisha ya Leo yamejaa unafiki sana....Tena wazi waziNa si ajabu kama zitafanyiwa marekebisho kidogo, wale UVCCM, waliokuwa wamepongeza tozo hizo, watajitokeza tena kumoongeza Rais!!kuwa ni msikivu!!
Eti naye anataka kuwa Rais 2025Mheshimiwa waziri[emoji116]CCM kuchukua madaraka ya hii nchi ni tulipigwa pakubwa sana.
View attachment 1859372
Rais na Waziri wake wote muflisi. Jambo hili au tozo hizi lilitakiwa kupimwa na Rais na Waziri wake kwanza iwapo ni jambo ambalo ni "practical" kwa Watanzania wa kawaida kabla halifikia utekelezaji.Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."
"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Huu ndio ukweli!
Rais na Waziri wake wote muflisi. Jambo hili au tozo hizi lilitakiwa kupimwa na Rais na Waziri wake kwanza iwapo ni jambo ambalo ni "practical" kwa Watanzania wa kawaida kabla halifikia utekelezaji.
Na hapa ndio unaweza kuona kuwa Bunge ni dhaifu kiasi gani. Kwa maneno mengine Bunge limebinafsishwa na kuwa kitengo cha serikali. Wananchi wamekosa watu wa kuwasemea Bungeni.