Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Soma hii hapaHili jambo toka siku ya kwanza Zungu anatoa wazo lilikataliwa ila walionekana kulikumbatia kwa vile wao si waathirika wakubwa wa vikodi hivyo vidogovidogo. Tumekuwa na taifa linalotegemea mawazo ya watu 300 kuongoza watu milioni 59. 77!! Taifa gani hilo sasa.
Wananchi wanaelewa wapi pa kushika na wapi pa kutoshika ila nyie mliopo juu mmepigwa upofu na bado mkiambiwa mnavimba, tuna viongozi wenye maajabu sana.
CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"
Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi. Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane...