Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wabunge waanze kukatwa kodi kama watu wengine serikali itakusanya zaidi ya bilion 70 kwa mwaka, huu ndiyo uzalendo wanaohubiri siyo tukatwe sisi wao wasikatwe kwenye posho na mishahara yao.
[emoji28][emoji28][emoji28],nimekumbuka yeboyebo!Acha tu mambo ya kwenye biashara inahitajika watu wabobezi kutoa ushauri wa kitaalamu maana effect yake huwa ni kubwa sana kama mtu akikurupuka ,kile walichokuwa wanakitarajia hawatokipata na kile walichokuwa wanakipata kitashuka...
Yaani,mkuu inashangaza sana,eti Mama kasikia kilio,Kwahio wakati anasaini alikuwa anasaini kitu gani?au ndio kutafuta kiki?Haiwezi kuwa sheria bila Rais kusaini sasa wakt anasaini hakuona au hakusoma hii ni mara ya 4 anapingana na kile alichokisaini kuanzia kuteua then kutengua ndani ya masaa 24,swala la mabando,then miamala ya simu sijui kitafata nini tunaweza jikuta siku moja tupo vitani kwa watu kufanya vitu then baadae kuvibadili sasa sijui mkiingia vitani mtakuja kubadili nini tu?
Hii ni Tanzania bro..!!!
Mshikamano ndo nnMama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Tengeneza tatizo,halafu fanya mkakati wa kuonyesha kwamba unataka kutatua tatizo....kazi iendelee.Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Mama yeye kusoma hajui? Akiletewa anasaini tu?Mwigulu anamharibia mama Samia
ONDOENI HUU UPUMBAVU hakuna kitu kinafanyika Rais asijueMama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
UmeumbukaYaani Serikali imesalimu amri? Nakisi ya bajeti ya miradi kama ilivyopitishwa mtafanyaje?
Hiyo tozo ya serikali wakishafikia muafakaBado hawajaondowa tozo kabisa kwahiyo unataka kulejeshewa nini?
Hii ya waziri kutoka Singida au Mtwara au Mara haina uhusiano wowote na kinachoendelea pamoja na matatizo yake....Nilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu