Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
tarudi mle mle kwa kutengeneza tatizo kisha unakuja litatua ---popularity gain
 
Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Ana usikivu upi sasa na yeye ndio kasaini kuwa sheria?, yeye ni msomi wa uchumi na makamu wake nae ni msomi wa Uchumi walipotoshwaje?
 
Nilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu
BADO MWIGULU hana sababu ya kiuzulu, WABUNGE WENU WALIOPITA BILA KUPINGWA NDO WALIPITISHA HII SHERIA ya tozo ya miamala.

MLIKUWA MNASHANGILIA kutorudi bungeni
1.Lema

2.Heche

3.Msigwa

4.Sugu

5.Frank Mwakanjoka na

6.Selemani Bungala (BWEGE)

maamuzi ya kijinga yanayopitishwa vila kupingwa ni matokeo ya kutokuwepo Opposition MPS.

Mmeona....🤣🤣🤣🤣 dawa sindano inatuingia SOTE na Ninyi pia...🤣🤣🤣🤣
 
Wabunge walipe kodi.haiwezekani unasisitza Kodi ya uzalendo kwa wanufaika wa keki ya taifa kiwango Cha chini.ile Khali wanufaika wakuu wanaojua maana ya uzalendo hawataki kulipa Kodi.

Ili tuongee lugha moja Mwigulu, Zungu &Co lipeni kodi
 
Wabunge waanze kukatwa posho na wapunguziwe mshahara
 
Atakoma na magenge, yatamwingiza chaka mara kwa mara. Alichelewa kuyafyeka, sasa inamuwia vigumu kwani yameshapeana vitengo na vyeo kibao serikalini. Kazi anayo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wakati kuna tatizo mnalalamika.
Pia tatizo linatatuliwa mnalalamika WTF.

Sio kila kinachotatuliwa basi conclusion kilitengenezwa makusudi ila kitatuliwe hii ni primitive thinking na mental laziness.

Watanzania wanashindwa kujiuliza labda wakati wanaexecute hayo makubaliano walitegemea wananchi wangepokea vizuri but outcome ni negative ni malalamiko hivyo itabidi wafanye tena majadiliano ili kuweka mambo sawa.
No hakuna mtu anafikiria hivyo.

Asilimia kubwa ya Africans ni wavivu wa kufikiri hivyo wamejawa na negative thoughts pekee. wanachoweza ni kualalamika na kulaumu tu hata ufanye nini.
That's why wanafuata mkumbo they can't think for themselves.
Trust me I can prove that.

Seriously ukiniuliza niongoze nani kati ya mwafrika na mbuzi nitasema kwa asilimia mia ni bora niongoze mbuzi.
 
Uzandiki tu huu.
Walijua wanaandaa kitu ambacho ni failure sababu wanaenda kugusa jamii ya mtaani kabisa.

Naona mama anaendelea kuupiga mwingi
Leo wasiyo na akili wanashangilia eti 'mzee msikivu' HOW?

Yaani asaini sheria alafu anakuja kukwambia ebu tuipitie upya how come?.

Mnachukuliwa akili zenu alafu mnarudishiwa baadaye kuja kushangilia 🤕!.
 
#ZILIZOTUFIKIA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa atakutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile pamoja na wataalamu kuzijadili Kanuni za Sheria ya Fedha ya mwaka 2021/22 iliyo anzisha tozo za simu...
Wananchi wanaumia kwa kukatwa hela zao, wewe Mwigulu unasema wanazidi kupotosha, Unafiki mtupu!
 
Sasa najiuliza sijui hawakuwaza Hili wakat wanapitisha na Hawa Wabunge wetu Sjui hawakuliona Hili tena wasomi kabisa
 
La msingi ni kutambua kuwa wenye nchi tumedhamiria kumsaidia Mama kuuondoa uozo wote:



Hatutanyamaza tukiona jahazi linakwenda Mrama.
Kodi zinaweza kupunguzwa lakini hazikwepeki kama kweli tunataka kufikia uchumi wa juu.

Tunaweza kuwa wabunifu wa uzalishaji mali lakini kodi ni muhimu sana.
 
kama kawaida ya ccm

tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Yaani ndo kamchezo kalivyokuwa. Jiulize mh. Rais alisaini huo muswada ina maana hakuusoma? Hakujua km too ni kubwa? Mpaka watu walalamike wee ndo aje aseme amesikia kilio chetu?

Kitu kibaya zaidi ni waziri wa fedha kutung'ang'aniza na kutuaminisha kwamba tozo ni ndogo. Alipokuwa anasema ukitoa alfu 30 utakatwa let say alfu 2500 watu walijua hiyo ndo gharama yote.

Kumbe 2500 ya serikali plus gharama za mtandao. WaTanzania tu wavumilivu Sana! Amalaa kile Cha South Africa king kuwa kinaendelea!
 
Back
Top Bottom