Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana usikivu upi sasa na yeye ndio kasaini kuwa sheria?, yeye ni msomi wa uchumi na makamu wake nae ni msomi wa Uchumi walipotoshwaje?Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
BADO MWIGULU hana sababu ya kiuzulu, WABUNGE WENU WALIOPITA BILA KUPINGWA NDO WALIPITISHA HII SHERIA ya tozo ya miamala.Nilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu
Leo wasiyo na akili wanashangilia eti 'mzee msikivu' HOW?Naona mama anaendelea kuupiga mwingi
Ili wapate kiki za kisiasa huyu mama huyu, bora Hayati MagufuliWanatengeneza matatizo halafu wanakuja tena kusema wameyaondoa!!
Basi nenda mbugani/Msituni kawaongoze hao mbuzi [emoji238][emoji238] nadhani ndio panakufaaYaani wakati kuna tatizo mnalalamika.
Pia tatizo linatatuliwa mnalalamika WTF...
[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Wananchi wanaumia kwa kukatwa hela zao, wewe Mwigulu unasema wanazidi kupotosha, Unafiki mtupu!#ZILIZOTUFIKIA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa atakutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile pamoja na wataalamu kuzijadili Kanuni za Sheria ya Fedha ya mwaka 2021/22 iliyo anzisha tozo za simu...
Oh yeahBasi nenda mbugani/Msituni kawaongoze hao mbuzi [emoji238][emoji238] nadhani ndio panakufaa
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Ajabu kabisa!Tengeneza tatizo!tatua Tatizo tena!!!
Acha kupotosha wewe,inavyoonyesha hata huko ulaya kwenye hujafika!
Kodi zinaweza kupunguzwa lakini hazikwepeki kama kweli tunataka kufikia uchumi wa juu.La msingi ni kutambua kuwa wenye nchi tumedhamiria kumsaidia Mama kuuondoa uozo wote:
Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...www.jamiiforums.com
Rais Samia, hayupo mchawi, pafahamu ulipotuchanganya
Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia. Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya: 1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika wa iliyopo). 2. Kauli yako kuwa kudai katiba mpya ni kuleta chokochoko. 3. Kuongeza kodi na tozo...www.jamiiforums.com
Hatutanyamaza tukiona jahazi linakwenda Mrama.
Yaani ndo kamchezo kalivyokuwa. Jiulize mh. Rais alisaini huo muswada ina maana hakuusoma? Hakujua km too ni kubwa? Mpaka watu walalamike wee ndo aje aseme amesikia kilio chetu?kama kawaida ya ccm
tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa