Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzilankende kapigwa dongo la mchana kweupeee!Kwahiyo Anataka Kusema Mzilankende Hakuwa Kwenye Wazuri
Ataiacha dunia kwa mapenzi ya Mungu lkn siyo kwasabb ya kuwa mtu mbaya kama mzilankendeKejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Kuna waliokufa bila mapenzi ya Mungu?Ataiacha dunia kwa mapenzi ya Mungu lkn siyo kwasabb ya kuwa mtu mbaya kama mzilankende
Wanajiona Sasa wao ndiyo wana hakimilik na ccmKejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Ana maana Magufuli hakuwa mtu mzuri. Huyu Yusuf anazeeka vibaya. Ila ajue anawachuria hao anaowaita wazuri ,Mungu hadhihakiwiAnataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Ndiyo. Jiwe ni mfano mzuriKuna waliokufa bila mapenzi ya Mungu?
Ben Saanane aliuawa kwa jambo la kijinga kabisa. Lissu alitaka kuuawa kwa jambo la kijinga kabisa. Magufuli alitumia nguvu kubwa kabisa za dola na fedha kujaribu kuua upinzani. Hakujua kuwa maadui zake halisi walikuwa ndani ya CCM wakimwimbia mapambio. Wale vijana waliokamtwa wa kusheherekea kifo chake walikuwa kama kafara tu. Walioshehekea na kufanya tafrija za siri nadhani mnaanza kuwaona wanajitokeza mmoja mmoja. Mna cha kujifunza!Mkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
Kwani mwisho wa mwanadamu ni wapi?
Kwa nini unasema anazeeka vibaya? Hivi hata alipokuwa kijana aliwahi kuwa tofauti? Mbona huyu baba maisha yake yote ameishi kwa unafiki na kujipendekeza? Hawa ndiyo wamefanya mpaka sasa miaka 60 ya Uhuru Dar maji yanatushinda. Ukiwa na vibwengo kama hivi nchi inaliwa na wachache tu.Kwahiyo mkapa na magufuli waliokufa walikua wabaya? Anazeeka vibaya huyo mzee
Amelamba asali hadi inampalia huyu Mzee!Kagame yuko hai, museveni yuko hai, Nyerere hatunae tena, Karume hayupo, wala uhai sio kitu cha kutolea mfano wowote, watoto wao kua na vyeo wasipofushwe macho mambo hubadilika saa na muda wowote
Mama Samia amemrekebisha mzee makambaNdiyo. Jiwe ni mfano mzuri