Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Ukweli ni kwamba, katika nyakati hizi, hakuna nabii wala mtume. Ukimsikia mhubiri yeyote anajiita nabii au mtume, tambue kuwa huyo ni tapeli.
Mkuu hapa tz tunaye rais ila kuna maraisi wengi kama akina Nay na Madee. Pia hata huko wasafi yuko alikuwepo na usharobaro alikuwepo raisi. Hivyo manabii wapo ila tatzo lipo kwa hao wanao jiita izivyo sawa.
 
Mkuu tufanye ukosahihi, na hapo hujauliza bali ndivyo unavyo amin kwakuwa ulisikia, uka amin na sasa ndo unachofaham.
Iko hivi kukitokea kesi kati ya raia wa tz waishio hapa tz kesi yao itaamuriwa kutokana na sheria za tz kwakuwa ziko chin ya katiba moja.
Lakin ikitokea kesi ya mtz na Mvietinum hapo kesi yao itaamriwa kutokana sheria za nchi waliyokuwa wanaishi, au sheria za kimataifa au mkataba wa kitu kilicho waunganisha.

Sasa nirejee kwenye isue yako hivi unadhani tubapochangia hoja yako kipi ni common kati yetu nawew maana huamin kabsaa kuhusu Mungu wala Yesu je huoni kama hiyo kesi ni ngumu au iwe vita labda?

Next time unatakiwa kuonyesha unachokiamin ndo tuanzie hapo kujadili. Ndo maana huwez hukum mila za kikurya kama wew ni mdigo lazima utumie sheria ya nchi au dini ikiwa jamii zote mbili zina amin hiyo dini.Mbali na hapo itabidi wazinyuke ili atakayeshindwa ndiye afundshwe mila za mwenzake na za kwake zihesabiwe kuwa kosa.
 
Wacha uongo wewe ...utawadanganya wote ila siyo mimi ...ukitumia akili ata asilimia 5% inatosha kabisa kumtambua shetani ndani ya uislamu wote na ndani ya ukristo mamboleo...wewe ulitumia upumbavu kufanya uchambuzi siyo akili maana akili thabiti ni wachache tuliyo nayo ...kama ulichambua mbona hekima yako ni yakiwango cha chini sana .....sasa nitakupa hoja moja moja ukazifanyie uchambuzi kuhusu uislamu na muhammad.
hoja ya kwanza.inasema..

1)muhammad ndiyo mtume bora kuliko wote
2)uma wa muhammad ndiyo uma bora kuliko nyuma za mitume wote zitakazo ingia peponi.
3)muhammad ndiyo mtume na nabii wa mwisho ulimwenguni hakuna tena mtume wala nabii atakaye kuja wa kweli baada ya mudi boy.

Baada ya hizo fact 3 za uislamu maswali na logic tunazo zipata ndani yake ni hizi
1)mudi boy alikuwa ajui Mtume wa mungu ni nini?
2)mudi boy alikuwa ajui nabii wa mungu ni nini ?
3)muhammad kamtukana mungu wa kweli.
4)muhammad kamtukuza na kuwaambia waislamu wote wamtukuze shetani.
5)mungu wa muhammad ni shetani ibilisi.
6)muhammad ni mtume wa shetani.

SASA UMEONA HAYO MAELEZO MASITA 6 YA CHINI NA YALE MAELEZO 3 YA JUU ....Sasa nakupa kazi ya kiakili kubwa sana kuni fafanulia au kutambua kwanini yale maelezo matatu ya juu yamezaa hayo masita 6 ya chini 💥 kama yupo muislamu au mkristo atakate weza kupambanua kwa ufasaha ni vipihoja 3 za juu zina zaa hoja 6 za chini nitajua huyo mtu ana akili kubwa sana.
adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Bwana Utam Malaria 2


Naombeni muwatag na wakristo wengine na waislamu wengine nataka kuwa onyesheni SHETANI
 
Mimi nimetokea kwenye Uislam ,ila wakristo japo wapo kwenye box ila wana uhuru mkubwa wakufikiri 🤔
Hauna dalili zozote za kutokea kwenye Uislam,..posts zako hazionyeshi kwamba unaujua Uislam hata kidogo,..


Wewe bila shaka upo kwenye fungu la pili hapo yaani "Wakristo mlio kwenye box na uhuru mkubwa wa kufikiri.."
 
Mkuu kwani science mnayoiaminia saiv imetoka nchi moja? Si kwamba ni muunganiko wa ideas mbalimbali? Anyway ili uamin kwamba ni kitabu cha kweli ulitaka kiandikweje, na nani?.
Pesa zina aminiwa na kila mtu je wote wanajua ziliko toka? Je wote wanaoendesha magar wanajua yalikotoka na historia zake? Je hawafaidiki kwa kutokujua historia za vitu wanavyo vitumia?

Ni vema kujua historia kutokana kiu ya kujifunza na pia nafasi ya mtumishi ktk kanisa ili kuwafunsha wengne lakin sio kwa ajili ya kuproove bible.
 
Huyu aliwahi kufikishwa mahakamani Arusha kwa madai ya kuvunja ndoa ya muumini wake. Kwa hiyo hana maisha ya kitumishi. Ni msela tu kama wasela wengine.
 
Sasa mbona ukisema 'kwa jina la Yesu' majini yanatoka nduki?
 
Biblia ni ujanja ujanja tu tutajie andiko lolote ndani ya hiyo biblia inayotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa Biblia
Kwani mkuu kuna sehem inaitwa dar es saalam? au ni ujanja ujanja? Kama ipo unaweza nipeleka eneo linalo itwa dar es saalam?.
 
Nimekuambia Kuwa Ilikuwa Ni metaphor na wala Sio kuongea Kwa Kuongea Hili swala Nimelijibu Ila Ulipohoji Ndo nimekupa Maswali..
Ila Ilikuwa Ni metaphor na Sio Kitu halisia
Mimi naomba kuuliza kidogo hapa,.. kwanini tunaona kwamba viumbe wengine hawawezi kuongea,...?


Mbona ni kama Binadamu na Viumbe wengine tumetofautiana tu jinsi ya kuongea na kuwasiliana,...lakini wote tunafanya hivyo.


Kwa mtazamo wangu viumbe wote wanaongea na kuwasiliana,.tunachoshindwa ni kuelewa uongeaji na njia ya mawasiliano ya viumbe wengine,.. kwa mfano Wahadzabe ni watu kama sisi ila ukiwasikiliza unaweza ukasema hawaongei,.kumbe ndiyo wanaongea hivyo na wanaelewana vizuri kabisa,..
 
Kwani mkuu kuna sehem inaitwa dar es saalam? au ni ujanja ujanja? Kama ipo unaweza nipeleka eneo linalo itwa dar es saalam?.
Duh 😅,.. kwahiyo wewe hujui kama kuna eneo linaloitwa Dar es Salaam na ndani yake kuna Wilaya 5 na kata zaidi ya 70?
 
Duh 😅,.. kwahiyo wewe hujui kama kuna eneo linaloitwa Dar es Salaam na ndani yake kuna Wilaya 5 na kata zaidi ya 70?
Bhasi ukiwa unajua hilo bhasi kumbe bibilia pia unaijua vzuri mkuu.
 
Muache mkuu kikubwa asife.
If you believe in God just because of the fear of sicknesses, diseases, calamities and death just know that, you are suffering from irrational fear, phobia and extreme anxiety because none of us will escape them.

Whether you believe in God or not, On the throne of time, you must die.
 
Huyo jamaa sidhani kama amewahi kuwa mkristo. Ni mjanjamjanja wa mjini. Aendelee kuwapiga vilaza wake hapo arusha.
 
Kwani mkuu kuna sehem inaitwa dar es saalam? au ni ujanja ujanja? Kama ipo unaweza nipeleka eneo linalo itwa dar es saalam?.
Tafuta ramani ya Tanzania utaona sehemu inayoitwa Dar es Salaam, acha swali la kijinga
 
Swali jepesi boss, mpaka kufikia tarehe ya leo, sayansi inasema nini juu ya uwepo wa MUNGU? Inasema hakuna MUNGU au hakuna uthibitisho kuwa kuna MUNGU?
 
Duuh..kwa haya maswali yako ndugu yangu bado uko chini sana, humu utawapotezea muda watu tu, anza na mchungaji wako au baba paroko.
Usitafsiri biblia kama unasoma kitabu cha Enoko na Simba, au cha Mama Ntilie, tena hata vitabu vya Mama Ntilie form two tulikua tunafundishwa namna ya kuvitafsiri
 
Kwa maana hiyo kwa sasa na wao ni kama baba yao, hawana dini??
 
Limeshiba hela za mataahira sasa linawaambia miaka yote ile nimekuwa nikiwadanganya! Na wewe unaungana na hilo punguani? Sasa huyo Yesu anayemhubiria mbona yuko kwenye Biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…