Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Clouds hata ichomwe moto ni sawa tu, wale ni wauza unga....nani asiyejuwa hivyo? Mwacheni rais wetu kipenzi asafishe nchi. Tunataka Tanzania yenye heshima si ya kilele mama.
 
Kila mtu anafahamu rais wako aliisusha hadi tv ya Taifa; TBC na kuwa mfuasi namba moja wa Clouds huku akipiga simu mara kadhaa huko kiasi cha kufikia kumpa u-DED mmoja wa wafanyakazi wa Clouds!!!

Kila mtu anakumbuka siku rais wako alipoongea kwa utani ni namna gani angependa Ruge kumkaribisha kwenye event ambayo iliandaliwa na Clouds!!!

Na kwa upande mwingine, kila mmoja anafahamu Mtoto Mpendwa wa Rais; Ndugu Daudi Albert Bashite alikuwa kipenzi kikubwa cha Clouds kiasi kwamba hata mambo yake binafsi kamavile birrthday, alikuwa anaenda Clouds ili wakasherehekee pamoja!!!

Kama ndivyo; unachojaribu kutuambia hapa ni kwamba, Rais wako mpendwa; pamoja na mwanae ampendae, ni maswahibu wa wauza unga!!!

Kwamba, ingawajee Daudi Albert Bashite aliamua kuwataja wauza unga hadharani lakini kwa makusudi akaacha kuwataja Clouds kwa sababu ni maswahibu wake!!

Halafu pamoja na yote hayo; bado unajaribu kuaminisha watu kwamba, rais yule yule aliye swahibu wa wauza unga; ni huyo huyo tena unayetuambia anaisafisha nchi!!!

Au unamaanisha atasafisha pale asipo na maslahi napo na kucha kule aliko na maslahi nako!!!

Very funny!!
 
QUOTE:Muungeni mkono Mwakyembe na Rais Magufuli.....ndiye rais tuliyenaye.
Katika matamshi yake hapa ndipo ninemuelewa
 
Ungekuwa unajuwa siasa naona ungejicheka hata na wewe mwenyewe kuropoka namna hii, lakini ndo hivyo tena.....si kosa lako.
 
Asante kwa ujumbe makini.
 
Ni vita kati ya wauza unga ba washiroko wao dhidi ya wazalendo akina Makonda n.k.

Mungu tuepushe na balaa hili.
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Hakuna suala la kulindana siku hizi,,,,ukilitibua unatibuliwa,,unakaa unatuiza mshono mambo yanasonga
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Ninyi ni wale wale tu. Ukinyanyua pua. Jiandae na sekeseke.
Chapa kazi acha umbea !!
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Nchi inaongozwa hovyo hovyo.... Huyu Rais wetu kwanini ana kigugumizi kuchukua hatua kwa Makonda? Kuna nini hasa?
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
ndege JOHN: umehitimisha kila kitu.

Wewe unayesoma bandiko langu, kama unajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya au una ndugu, ione ishara ya kukamatwa. Ama ujisalimishe au ujiue.

TANZANIA BILA MADAWA YA KULEVYA INAWEZEKANA - huo ndiyo ujumbe
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Apeleke kiburi chake Mtama sasa. Tulishamchoka. Alikuwa ethics za kazi yake. Anajua kuropoka mitandaoni tu na kwenye vyombo vya habari.
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Nimemuona Gwajima kwenye sauti ya Nape kuwatukana Usalama wa Taifa Letu. Hii ni hatari kuvunja amani. Usalama wa Taifa tusiwatukane.
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Trump does not have that much power without support of the Congress. He could not repeal the Obama Care and that shows you that America is a different Elephant. Please do not compare this stuff here in TZ with the US. There is accountability in the USA, nobody is above the law, even the president of the US.
 
Nnape kaongea kwa uchungu sana..''amepigana miezi 28 kuirudisha CCM madarakani''. Well, CCM ni ileee ileeee. Pole yake na iwe fundisho kwa wengine. What goes around comes around.
Kwa kifupi amepewa kiki na baba Jeska na Zaidi amemrahisishia kujiuzulu kuliko kuhusiswa na serikali na raisi wa ajabu ajabu.
 
Absolutely kupanic na kuanza kurukaruka hakuna maana yeyote, kwanza kapata taarifa za kuondolewa akiwa Arusha angechukua hotel ajichimbie hata 2 weeks ashushe presha then ndio aelekee zake Mtama kuwatumikia watu wake sasa hivi nikujichongea
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…