Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Watanzania wengi kila changamoto inahusishwa na kurogwa au mapepo. Ndio maana kutwa kuenda kwa wachungaji au waganga. Na matatizo yako palepale.
 
Mpe upendo mwenzio. Utamuumiza sana ukimuacha. Huyo anakupenda ila anahitaji msaada wa kisaikolojia. Msaidie mwenzio,

be a man and hold that inconveniences with dignity and patience as a man, don't be like a boy to run away from disturbances
Mbona wanawake huwa wanawakimbia wanaume pindi wakiingia kwenye changamoto??
 
Defensive mechanism baada ya kuhisi kupwaya eneo Fulani hasa kwenye uzazi!miaka 20 halafu watoto wawili!!?yaani mlipanga au ilitokea bahati mbaya!?
 
Mkuu, tenda wema nenda zako. 80% ya wanawake hawana shukrani. Huyo unaweza mtendea wema, akapona kisha akakuacha akipiga pesa ndefu.
 
Wala usisemee mbali hii, itakuwa kuna tukio ulimfanyia la kumsaliti na anajua hata Kama miaka 5 iliyopita na alichagua kunyamaza! Sasa ule ukimya umeleta sumu ndani ya moyo wake! Tafuta Mtaalam mzuri wa masuala ya mahusiano na ndoa atakupa majibu mazuri
 
Mimi sina huruma na 80% ya wanawake kwa maana ni wapumbavu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…