Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

Pilipili ale mwingine ikuwashe wewe!. Ni kama hayakuhusu vile!, au mimi tu naona unakosea !?
 
Mno, hizi rafu tunazocheza wanawake kupitia watoto ni za hatari.
Muache hii michezo ni hatari kuna watu wengine hawakubali kupoteza. Wengine huona bora mkose wote anawadhuru kwa hasira.
Shemeji nimemove on sababu nasikia umemove on pia, ila ushemeji haufi…
Nimemove on kivipi shem na umesikia wapi? Ila shem kwa kujiamulia mambo 😅
 
Angekuwa ni mdogo wako wa kiume ungefurahi kuona analeta shahawa za mwanaume mwingine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…