Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
hawapaswi kukufukuza! Wao ndo wakupishe ubaki wewe...Bado nyumba na gari, ila nataka nianze na gari😃😃,.. Nyumba nitaishi nyumbani labda wanifukuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawapaswi kukufukuza! Wao ndo wakupishe ubaki wewe...Bado nyumba na gari, ila nataka nianze na gari😃😃,.. Nyumba nitaishi nyumbani labda wanifukuze
Halafu kweli 😃hawapaswi kukufukuza! Wao ndo wakupishe ubaki wewe...
Mwenza sio kipaumbele changu mkuu.. Application ipi hiyo 😃😃
kama ile ya chuo sio matapeli mkuu,,. Niliona uzi umefutwa nikaachana nayoKumbe ile link ilikuwa ni matapeli.
Kabisa na zamani maprofesa badala ya kufanya tafiti...wanafuga ng'ombe mjini..🙂Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Sababu Kibongo bongo Life Is Too Short, So We live for better Today, Tommorrow will take care for itself..🤣Kwahio una maana wengi wana ndoto ya kupata BASIC NEEDS? Tuna safari ndefu sana.
NakataaKama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
wewe pale ndio kwako... na wao waende kwaoHalafu kweli 😃
Nani alibuni huu mfumo?
Nilikaribu kuupinga nikaishia kupoteza
kama ile ya chuo sio matapeli mkuu,,. Niliona uzi umefutwa nikaachana nayo
Nani anaye waandikia watu utajiri?Kujituma kufikia ndoto ndio inakuwa kwa mfumo gani? Kama hujaandikiwa utajiri utasota sana tu ila utaishia kwenye msongo wa mawazo.
Ile ilishafungwa. Mgombea kashapatikana😃Sio ya chuo.
Link ya ku- apply Jimbo lako ikasemwa liko wazi na ukatoa na deadline
Ile ilishafungwa. Mgombea kashapatikana😃
Wahindi ni Matajiri wakubwa lakini wanaishi nyumba za kupanga na Wana Magari mazuri sana na Maisha mazuri sana wengine wanakaa Kwa wazazi Wao Wala hamna shida .Waswahili ndio tuna shida .Waaarabu na wapemba Matajiri sana lakini unakuta watoto wao wanaishi na wazazi Wala hakuna shida na hakuna anayelalamikaBado nyumba na gari, ila nataka nianze na gari😃😃,.. Nyumba nitaishi nyumbani labda wanifukuze
Maisha ni basic needs tu bila kujali.kipato kidogo au kikubwa.Kwahio una maana wengi wana ndoto ya kupata BASIC NEEDS? Tuna safari ndefu sana.
Utaanzaje kuwaza kuwa na Kiwanda ikiwa umezaliwa nyumba ya kupanga mpaka unakuwa ni kulala kwenye makochi huku wenzio wanazaliwa baba mkubwa anamiliki Kiwanda cha nondo na mabomba, baba ni contractor mkubwa anaekula tender za serekali kila mwaka. Baba mdogo ana kampuni ya Transport and Logistics malori ni kibao yanaenda Transit Congo, Mengine Zambia. Mjomba ni Waziri wa viwanda na uchukuzi. Hapo kuwa maskini ni kupenda wewe tu.nakubaliana na ww mkuu maana vikwazo vipi vingi wachache sana wamejitoa
mkuuu umepangilia hadi nimeogopa 😂😂😂😂Utaanzaje kuwaza kuwa na Kiwanda ikiwa wenzio wanazaliwa baba mkubwa anamiliki Kiwanda, baba ni contractor mkubwa anaekula tender za serekali kila mwaka. Baba mdogo ana kampuni ya Transport and Logistics malori ni kibao yanaenda Transit Congo, Mengine Zambia. Mjomba ni Waziri wa viwanda na uchukuzi. Hapo kuwa maskini ni kupenda wewe tu.
Wenye talent wanapaa fasta.Halafu watu hawajielewi kwasababu ya tamaa zao.
Matajiri wengi walianzia kwenye msingi mzuri.
Unakuta baba au babu yako alianzia sehemu akafikia stage fulani ya maisha na wewe unaanzia hapo.
Sisi kila anayezaliwa anaanza upya.
Tena unazaliwa unakuta baba yako bado amepanga chumba kimoja Kwa Aziz Ally.
Maana yake, ndogo zako lazime ziwe kuboresha Maisha yako yasiwe Kama ya wazazi wako pamoja na kuboresha Maisha ya kwenu ukiweza.
Unless uwe na talent ikuoe booster.
Lakini wengi wetu tunaotegemea Ualimu au ujasiriamali wa duka la mangi au kuchoma chipsi, ndogo kubwa utabebeshwa sembe, utafirwa au utatembea sana kwa waganga na kila siku utawaza stori za paka mweupe na rupiah za wahindi.