Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Bado nyumba na gari, ila nataka nianze na gari😃😃,.. Nyumba nitaishi nyumbani labda wanifukuze
Wahindi ni Matajiri wakubwa lakini wanaishi nyumba za kupanga na Wana Magari mazuri sana na Maisha mazuri sana wengine wanakaa Kwa wazazi Wao Wala hamna shida .Waswahili ndio tuna shida .Waaarabu na wapemba Matajiri sana lakini unakuta watoto wao wanaishi na wazazi Wala hakuna shida na hakuna anayelalamika

Cha msingi uchangiaji bajeti hapo nyumbani
 
Kwahio una maana wengi wana ndoto ya kupata BASIC NEEDS? Tuna safari ndefu sana.
Maisha ni basic needs tu bila kujali.kipato kidogo au kikubwa.
Ila basic needs zinatofautiana quality .Mfano basic needs ni chakula ,mavazi na malazi .Struggle zote zinajikita hapo tu sio nje ya hapo .Mtu ana struggle kuwa chakula atakachokula kiwe Cha quality ipi ya chini au juu,Mavazi atakayovaa yawe ya quality ipi ya chini au ya juu na malazi na makazi yake yawe ya quality ipi ya chini au ya juu kwake binafsi na familia yake
Kila kitu kinazungika hapo tu asilimia kubwa .Kwenye quality ya basic needs kuanzia mhusika na familia yake na ukoo wake
 
nakubaliana na ww mkuu maana vikwazo vipi vingi wachache sana wamejitoa
Utaanzaje kuwaza kuwa na Kiwanda ikiwa umezaliwa nyumba ya kupanga mpaka unakuwa ni kulala kwenye makochi huku wenzio wanazaliwa baba mkubwa anamiliki Kiwanda cha nondo na mabomba, baba ni contractor mkubwa anaekula tender za serekali kila mwaka. Baba mdogo ana kampuni ya Transport and Logistics malori ni kibao yanaenda Transit Congo, Mengine Zambia. Mjomba ni Waziri wa viwanda na uchukuzi. Hapo kuwa maskini ni kupenda wewe tu.
 
Utaanzaje kuwaza kuwa na Kiwanda ikiwa wenzio wanazaliwa baba mkubwa anamiliki Kiwanda, baba ni contractor mkubwa anaekula tender za serekali kila mwaka. Baba mdogo ana kampuni ya Transport and Logistics malori ni kibao yanaenda Transit Congo, Mengine Zambia. Mjomba ni Waziri wa viwanda na uchukuzi. Hapo kuwa maskini ni kupenda wewe tu.
mkuuu umepangilia hadi nimeogopa 😂😂😂😂
 
Halafu watu hawajielewi kwasababu ya tamaa zao.

Matajiri wengi walianzia kwenye msingi mzuri.

Unakuta baba au babu yako alianzia sehemu akafikia stage fulani ya maisha na wewe unaanzia hapo.

Sisi kila anayezaliwa anaanza upya.

Tena unazaliwa unakuta baba yako bado amepanga chumba kimoja Kwa Aziz Ally.

Maana yake, ndogo zako lazime ziwe kuboresha Maisha yako yasiwe Kama ya wazazi wako pamoja na kuboresha Maisha ya kwenu ukiweza.

Unless uwe na talent ikuoe booster.

Lakini wengi wetu tunaotegemea Ualimu au ujasiriamali wa duka la mangi au kuchoma chipsi, ndogo kubwa utabebeshwa sembe, utafirwa au utatembea sana kwa waganga na kila siku utawaza stori za paka mweupe na rupiah za wahindi.
Wenye talent wanapaa fasta.
 
Back
Top Bottom