Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.
Kimsingi wagombea wote wamesaini na kujaza fomu ya kuheshimu na kutekeleza maadili ya uchaguzi kwa hyo Lissu anajua alichokosea ni nini kwa sababu wakati mwingine tuwe wakweli kwamba amekosea huu sio muda wa kutukana ni muda wa kunadi sera ili wananchi waamue Nani atafaa kuwa kiongozi wao sasa Kama mtu anaetaka kutushawishi tumpe ridhaa ya kuongoza nchi anafanya haya hivi kweli wananchi tutakua na Imani nae?Mabibi na mabwana ni muhimu tume ikakumbuka kuwa wagombea ni wa wananchi si wa tume.
Mengi yamevumiliwa lakini hayatavumilowa yote...
Unaweza vipi kuitenga serikali ya awamu ya 5 na Magufuli.Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Nimekukubalia hilo wazo ni zuri, lakini tupate wapi watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa🤔? Kwa mfano wewe ukiwekwa kwenye tume Ni lazima tu utakuwa upande wa CHADEMA, hata Kama ungechaguliwa na Magufuli,ambae yeye Ni CCM.Hizo ni fikra zako na CCM tu . Upinzani wenye vyama vingi unataka tume iliyo huru. Hata Marehemu Mkapa alilisema hili
View attachment 1583171
Marekani wametoa watu wa tume mbinguni?Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.
Endelea kukata viuno kwanza baadaye kamtafute Askofu wako GwajimaMalalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Na hiyo vita anayosema itasababishwa na wao maccm kwa sababu mabichwa yao huwa hayakubali mabadiliko.Mbona Jiwe anapopotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita haitwi?
Naongea kwa mujibu wa katiba bwashee!Unaweza vipi kuitenga serikali ya awamu ya 5 na Magufuli.
Magufuli mwenyewe na wanaccm wenzake wanaaiita serikali ya Magufuli...
Lissu anakosoa sera sio mtu, anakosoa miundo ya taasisi ndio maana anasema atalifumua jeshi la polisi, Chadema itakuja na sera ya majimbo, ataimarisha uchumi wa kanda zote bila ubaguzi kama anaofanya Magufuli, anakosoa ujenzi wa ndege wa Chato kuwa hakufuata utaratibu, na umefanywa kwa upendeleo, kama kusema hivyo ni kumshambulia mtu basi anayehisi ameguswa atakuwa aliingilia maamuzi ya taasisi husika.Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea.
Lisu anapaswa kuzilalamikia sera za CCM kama anaona zimefeli maana kinachoshindanishwa sera za vyama siyo watu...
Nimekukubalia hilo wazo ni zuri, lakini tupate wapi watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa🤔? Kwa mfano wewe ukiwekwa kwenye tume Ni lazima tu utakuwa upande wa CHADEMA, hata Kama ungechaguliwa na Magufuli,ambae yeye Ni CCM.
Wasalimie migombani!Una kipaji kikubwa Sana cha upumbavu
Katiba ipi inayotamka serikali ni ya fulani kisa yeye ni rahisi?Naongea kwa mujibu wa katiba bwashee!
Hakuna anayetafuta 'Tume' toka kwa malaika. Jaribu kutumia akili kidogo alizokujaliya Mwenyezi Mungu.Ikiwa hakuna sehemu yeyote ndani ya Tz tunaweza kupata mtu mwenye sifa za kuingia kwenye time,na ambae sio mnazi wa chama fulani,dhana ya time huru Ni ngumu sana kutekelezeka,hata kama hawatateuliwa na Rais. Otherwise watumike robots.
Huu ulikuwa utawala wa ONE MAN SHOW hivyo anapeleka mashambulizi sehemu sahihi kabisaMalalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Swali langu limekuwa gumu kwako,kwasababu unalikwepa sana.Subiri hoja za wadau wengine userereke nazo.Kwa nini liliundwa Bunge la Katiba? lilipatikana vipi ??