Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Magufuli amevunja kanuni nyingi za NEC

Hongera lissu kwa kufuata kanunni Ila nenda kawachane live waache upuuzi
 
Huyu Lisu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
TRA waliwawekea msururu wa masharti ya ajabu.
 
Kama walikuwa hawataki ushindani na demokrasia si wangeokoa hela zinazopotea bure katika huu uchaguzi. Hawa ndio vibaraka anaowazungumzia polepole maana huu uchaguzi ni kiini macho kwa ajili ya kuwazuga mabeberu.
 
Swala la mtoto wa dada kuwa Paymaster General, Polepole huw analisahau akiwa kwenye press conference?
 
Tundu Lissu ukifika NEC tafadhali sana waombe waandae mdahalo
 

Kwa akili zako hujui polepole saizi yake wajumbe wa nyumba kumikumi?

Lisu the best amongst talented Tanzanians

Lisu Vs Magufuli mdahalo hapo sawa tutajuwa nani nibora zaidi

Who is polepole kwa msomi Lisu?
 
NEC acheni kuchezea shilling chooni
Watu wanamaisha mabaya Sana
Tumepoteza kila kitu
Ogopa kushindana na watu kama Watanzania wa Sasa cos
We have nothing to loose
 
TRA waliwawekea msururu wa masharti ya ajabu.
Mleta uzi anasema Gongolamboto zipo. Kama kuna mtu yupo Gongolamboto na ana access na poster ya chadema apost hapa nione.
 
Un
NEC mnachekesha kweli
Mpigieni simu mumuulize kwani lazima aje
Lissu usiende mbona jiwe hajaitwa?
Kampeni zinaendelea

Mnataka aje mumfanye nin
Una akili sawa wewe?
Hujui NEC ndo bisi wake, au unadhani ni Amsterdam?
 
Usitishe watu bhana tunajua mmepanga nini ila hamtafanikiwa. Kama vipi mwambie asiende basi uone-ebo
Nakwambia mwaka huu siyo 2015 ambapo Lowassa alisema tumuachie Mungu. Hii ni 2020 tutalinda kura wenyewe na tuta deal na DED au Mkueugenzi wa uchaguzi kwa nafasi yake binafsi. Its now or never, tukiwaachia mwaka huu hamtatoka milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…