Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimpiga teke chura unamwongezea mwendo, kitendo Cha Mahera kumwira lissu Ni blessing in disguise,
Nadhani tume ndo inaenda kusomeshwa kanuni upya,
Pia lissu atatumia hii fursa kuwaambia ukweli wa madudu wanayofanya ili kumbeba jiwe, kabla hawajaletewa barua ya karipio rasimi kutoka kwa Robert Amsterdam
Kabisa hakuna kwenda, tukianzeshe wasituone ni watoto wadogo...TL asiende tukianzishe hapa hapa. Haina haja ya uchaguzi tena. Wamuite Magufuli kwanza - anadhalilisha akina mama, anafokea wapigakura eti hawapati maendeleo wakichagua wapinzani, sasa wanasema eti TL ana uraia wa nchi nchi nyingine! Waache ushenzi Watanzania tuamue kiongozi tunayetaka atuongoze.
Mwaka huu hatutawapa nafasi ya kupumua kudadeki zenu ! wanafiki nyie !
Ina maana bado hujaamua kumpa kura??Wakiendelea hivi...Lissu anachukua kura yangu
Tume hii hii yenye double standards?
Mmeshindwa majukwaani sasa mmeamua kutumia serikali ,huyu Lisu huyu ni hatari sanaKwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lisu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.
Kwa mfano Tundu Lisu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.
Tundu Lisu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.
Maendeleo hayana vyama!
siyo kwa LissuUmewahi kumwona mtu aingia ICU kisha mwampungia baadae mwasikia katoka!
Polepole kawaita wapinzani misukule na yeye ataitwa?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa mgombea huyo atafika mbele ya kamati Septemba 29 mwaka huu.
Akizungumzia uratibu na usimamizi wa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu amesema tume imekumbana na changamoto kwa baadhi ya wagombea wa kiti cha Rais kutoheshimu sheria, taratibu na maadili ya uchaguzi.
Ameongeza kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakitumia maneno ya kukashifu wagombea wenzao, tume, pamoja na kutoa taarifa zisizo za kweli zenye lengo la kuleta taharuki na uzushi miongoni mwa Watanzania.
Chanzo: TBC Online
Kumbe NEC, Police na Serikali wanaweza kuamua kumwachia polepole kazi ya kumdhibiti. Hivi nyie watu hamna hata aibu kwa ushenzi wenu huu!Kwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lisu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.
Kwa mfano Tundu Lisu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.
Tundu Lisu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Huna akili wewe.Hoja ni hii tu mmeishikilia huku mkijua ni stori stori
Mjibu anayouliza 1.5tr uwanja wa chato ndege zimenunuliwa kihuni Hazina pesa hakuna kupotea na kuuwawa kwa watu kupigwa risasi
Haya ndiyo yanawahusu walipa kodi
Ushoga ni maisha binafsi hajawahi kusema ataruhusu ushoga
Alisema Katiba izingatiwe
Msipindishe maneno
Nyamaza kimya mpumbavu mmoja wewe.
Kumfungia asiendelee na kampeni, wamepewa maelekezo na aliyewateua wafanye kila joto hasa ya kumzuia Tundu Lissu asiingie Ikulu.NEC mnachekesha kweli
Mpigieni simu mumuulize kwani lazima aje
Lissu usiende mbona jiwe hajaitwa?
Kampeni zinaendelea
Mnataka aje mumfanye nini?
Hamna mtaji wa wananchi, bali mamlaka ya dola. Kwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, kila mtanzania analo jambo baya alilotendwa.Mtaji wetu sisi ni watanzania wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na wenye kadi ya mpiga kura kama ni hao ndio unawaita wajinga basi sawa sisi wajinga tutakipigia kura ya ndio chama cha mapinduzi kwa wingi sana.
Na uzuri huwa hafichi watakacho mwambia atakimwaga hadharani,na najua atawatwanga maswali mpaka watapoteanamahojiano yakiwa mubashara yatapendeza sana.
siyo kwa Lissu
Polepole kawaita wapinzani misukule waanze na polepole kwanza hao NECCCM Tumeccm wameanza hujuma zao mapema lazima ICC ianze kuwachunguza kwa nguvu kubwaNEC hii Ni chombo Cha Serikali ya CCM kwa ajili ya kulinda,kutetea na kupigania CCM iendelee kutawala!!!
Kama NEC Ni wakweoi na hawana upendeleo kwa CCM Basi wamwite na Rais Magufuli mbele ya Tume hiyo Tume ya Maadili ili naye ajiekeze kuhusu yafuatayo:
1. Kwanini wakti huu wa Kampeni anatoa Hongo au Rushwa kwa kuomba Fedha za Barabara, Zahanati na Madaraja toka Hazina?
2. Kwanini amewaita Wakurugenzi wa Halmashauri na Majiji(Wasimamizi wa Uchaguzi)kuongea nao katikati ya Kampeni?
3. Je, Magufuli anataka kuwaambia nini Kama siyo njama za za kuhujumu Uchshuzi?
4. Rais Magufuli haoni hii Ni kuiingilia NEC??Na iwapo ana Jambo la muhimu kwanini asiwatumie NEC kufikisha ujumbe wake?