Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
kabisa mkuu....Au sio
Ukweli mtupuHii ni kwasababu ya kitu kinachoitwa 'sexual compatibility' yaani 'utengamano wa kingono'. Maana yake ni jinsi mapendeleo ya kingono ya wanandoa yanavoendana. Yaani anachopenda mke/mume kufanya/kufanyiwa wakati wa tendo la ndoa kinatakiwa kiendane na/kimridhishe mwenzi wake....
View attachment 2602335
Hii imekua sababu kubwa ya wanandoa kuachana kwasababu hawakuchukua muda kufahamiana vizuri kingono kabla ya kuingia kwenye ndoa...
Kwa mujibu huu mwanaume akioa bikra, anapaswa naye awe bikra ili sexual compatibilty yao iwe nzuri ukizingatia kwamba wote watakua hawajawahi kushiriki tendo la ndoa. Hivyo basi watazoeana kirahisi.... Mwanaume asiye bikra kuoa mwanamke bikra kunaweza pelekea ndoa kuharibika kwasababu mwanaume huyo anaweza asivipate vile alivyovipata kabla ya kuoa....
Hivyo basi inashaurika kama wewe tayari ni mzoefu kwenye masuala ya ngono, itabidi ufanye 'kumpima' mwenzi wako kabla ya ndoa ili upate kufahamu kama mtaendana au la, ili kuepusha mafarakano....
Haina pingamizi bro....duh
kama ina ukweli hivi
Asilimia kubwa ya ndoa, ngono ni deciding factor....Kwangu mimi ngono nisehem ndogo Sana ya maisha ya ndoa, jambo la msingi kuliko yote nikumpata mwenza atakaekupa utulivu wa akili.
Ni deciding factor Kwa watu wasiowaza mbali.Asilimia kubwa ya ndoa, ngono ni deciding factor....
Hii ni kwasababu ya kitu kinachoitwa 'sexual compatibility' yaani 'utengamano wa kingono'. Maana yake ni jinsi mapendeleo ya kingono ya wanandoa yanavoendana. Yaani anachopenda mke/mume kufanya/kufanyiwa wakati wa tendo la ndoa kinatakiwa kiendane na/kimridhishe mwenzi wake....
View attachment 2602335
Hii imekua sababu kubwa ya wanandoa kuachana kwasababu hawakuchukua muda kufahamiana vizuri kingono kabla ya kuingia kwenye ndoa...
Kwa mujibu huu mwanaume akioa bikra, anapaswa naye awe bikra ili sexual compatibilty yao iwe nzuri ukizingatia kwamba wote watakua hawajawahi kushiriki tendo la ndoa. Hivyo basi watazoeana kirahisi.... Mwanaume asiye bikra kuoa mwanamke bikra kunaweza pelekea ndoa kuharibika kwasababu mwanaume huyo anaweza asivipate vile alivyovipata kabla ya kuoa....
Hivyo basi inashaurika kama wewe tayari ni mzoefu kwenye masuala ya ngono, itabidi ufanye 'kumpima' mwenzi wako kabla ya ndoa ili upate kufahamu kama mtaendana au la, ili kuepusha mafarakano....
Kama mwenzako hapendi kufanya hivo ulivovieleza je??Kuwa muwazi ndio raha ya tendo.
Unaeleza vile unavyotaka ufanyiwe, mambo yanakuwa burudani.
Sio kwako wewe tu, ndio uhalisia ulivyo hivyo, muda mnaoutumia kusex ni mdogo sana kulinganisha na muda mtakaokuwa mmekaa kuangalia tv, kula pamoja, kutoka out nkKwangu mimi ngono nisehem ndogo Sana ya maisha ya ndoa, jambo la msingi kuliko yote nikumpata mwenza atakaekupa utulivu wa akili.
Au wewe mkuu ukipewa mwanamke mwenye utulivu wa akili na asiejua lolote katika ngono. Na mwingine ambae ni fundi wa ngono asie na utulivu wa akili utaoa yupi?.
Aaah basi! Twende hivo hivo kibubu zaid[emoji23]Kama mwenzako hapendi kufanya hivo ulivovieleza je??
Kumpata aliekamilika idara zote nimtihani mwalimu.Sitooa hata mmoja, ntaoa yule anaekidhi mahitaji yangu ya kingono, na ya kimaisha.....
Hakuna kulazimisha....[emoji23] Unatakiwa upite hivi....Aaah basi! Twende hivo hivo kibubu zaid[emoji23]