Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Anachofanya huyu jamaa ni utoto wa hali ya juu, leo asubuhi nilikuwa nina kikao na Lema,kufika kwake naambiwa na yeye kaenda kumpokea Makonda.
SIJAELEWA VIZURI HAPO ILI NICHEKE YAANI LEMA NAYE KAENDA KUMPOKEA MAKONDA???
 
Siwezi kukubadilisha tabia ila naweza kujibalisha tabia,means kwamba siwezi kukuchagulia marafiki ila ukichagua marafiki wapumbavu kwa mtizamo wangu basi mimi naamua kuacha urafiki na wewe that's it
Sasa si ungechukua tu uamuzi wa kuachana nae ukatulia? Hahahah.
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Kijana nilichogundua kwako ni kuwa..., unagubu!

Kosa lake ni lipi? Alipigia simu watu waje kumpokea?
 
Makonda ni jembe.ikiwezekana mama ampishe hiyo nafasi ili Tanzania iendelee Kwa kasi
Kufanya kosa haijawahi kuwa kosa ila kurudia kosa,ogopa wasiofaa hata kuwa wajumbe wa nyumba10🤣
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Ningekuwà Rais nisingehangaika na mpuuzi kama Makonda.
 
Anachofanya huyu jamaa ni utoto wa hali ya juu, leo asubuhi nilikuwa nina kikao na Lema,kufika kwake naambiwa na yeye kaenda kumpokea Makonda.
Sawa, Lema ni msimamizi(OS) wa ofisi ya mkuu wa mkoa hivyo alilazimika kwenda kumpokea bosi wake.
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
We mtu ni ME ama KE. Kama ni ME basi tumepoteza mniga, unaanzaje kutamani kuwa kama Samiha.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwa maelezo yako, kosa la Makonda ni lipi hapo?
Hebu jiulize mkuu wa mkoa gani ambaye siku ya kuwasili kituo chake cha kazi anapokelewa na msafara wa magari? Binafsi mi sijawahi kuona na miaka yangu 46 ya kuishi Tanzania... hii inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kuhusu yeye.
 
Wivu tu aisee hajapanga kapangiwa . Usitake kukasirika.kama mwenzako kapatia maisha yake
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.

Povu la nini?
 
Acha kuweweseka na kuwa na wivu wewe. Mwamba Makonda ni kipenzi cha watanzania.ndio maana unaona watu wakifurika na kumiminika kwa hiyari yao wenyewe kwa ajili ya kumpokea Mwamba na Tumaini la wana Arusha na kanda ya kaskazini kitovu cha utalii na Geneva ya Afrika.
Hebu tutajie mambo walau matatu tuu yenye tija kawahi kutekekeza au kubuni akiwa kwenye utumishi wake likawa jambo la kuigwa na mfano bora?
Ukweli ukuangalia ni watu wajinga wajinga (mfano ni wewe) ambao ndio wanavutiwa na drama zake.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni wewe lakini kusema kuna watu wamerudi nyuma kisa RC Arusha sio kweli, binafsi yangu na wengi watafanya chaguo lao bila kuathiriwa na fikra za mtu binafsi au matazamio yake
Pamoja na maovu yake ila mwisho wa siku kila mmoja atafanya maamuzi yake japo Mama kapoteza watu wengi sana baada ya kujinabisha na huyo Bashite.
 
Sasa si ungechukua tu uamuzi wa kuachana nae ukatulia? Hahahah.
Sasa hapo hujaelewa nini tena,ndiyo maana nikasema mimi nimechukua uamuzi wa kuachana naye. Au na wewe una vinasaba vya ki bashite mpaka huelewi jambo dogo kama hili
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Weka ushahidi unaonesha kuwa watu wamelazimishwa kwenda kumpokea Kamanda makonda.
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Punguza wivu mkuu,hiyo ni bahati yake tu.
 
Back
Top Bottom