Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Misa ya kuombea marehemu ni utaratibu wa Katoliki, unalijua hilo..?
Ni utaratibu wa Katoliki kuombea mauaji ya kisiasa waliyochochea wenyewe lakni hawawezi kuwaombea waliouawa na Mkapa Januari 2001.
Hawawezi kuwaombea waliofariki MV Bukoba?
 
Kama Lissu yeye mwenyewe hakusema kupitia mdomo wake kwamba yupo kwenye Mgomo wa kula msosi

Kama kasema mwengine kwaniaba ya kitambi cha mjomba Lissu tuheshimiane kwa hili

Kitambi Tumbo la mjomba nawaambia halina msemaji wake
Hata mjomba mwenyewe
hawezi kusema kwaniaba ya
Tumbo lake❗

Tumbo ni kama Serikali kwenye mwili wa Mwanadamu
Litasema lenyewe kama kuna mgomo wowote mnakumba mgomo ulishindikana
siku za nyuma
Tumbo lilimwambia mjomba mimi sipo kwenye mgomo!!!

nataka msosi ❗
tafuta cha kugomea lkn sio mimi mwisho mjomba Lissu kaja kugomea
kuchana nywele mpaka saaa✍️
 
Wenzenu wako busy na matamasha ya kwaya wana enjoy maisha na kumtukuza Mungu wala hawana story na hizo blablaa zenu

Endeleeni kuugua visukari na presha lakinj kanisa TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME liko palepale, haligusiki, halitikisiki wala halisemeki badala yake linagusa, linatetemesha na kutikisa kila ovu linalofanywa na yeyote bila kujali ni nani. Hiyo ndio kazi yake

Endeleeni kujambajamba tu kama mnadhani kujambajamba kwenu kutawasaidia
 
Hama kitu kama ibada ya ghasia, ibada inafanywa kwa utulivu
 
Viongozi wetu wa Kanisa Katoliki wasikubali kutumiwa au kutumika na CHADEMA.
Viongozi wa Chadema ni wahuni/ magaidi wanao hamasisha vurugu na uvunjifu wa Amani ya nchi yetu.

Sijui kwanini Msajili wa Vyama vya siasa hafuti hili genge la majambazi.
 
Mpo radhi kumkufuru Mungu kwa ajili ya shilingi elfu Saba. Njaa mbaya sana.
 
Viongozi wetu wa Kanisa Katoliki wasikubali kutumiwa au kutumika na CHADEMA.
Viongozi wa Chadema ni wahuni/ magaidi wanao hamasisha vurugu na uvunjifu wa Amani ya nchi yetu.

Sijui kwanini Msajili wa Vyama vya siasa hafuti hili genge la majambazi.
Hujawahi kuwa mkatoliki. Wewe ni kobazi .
 
sasa Lissu kugomea chakula inakuaje ghasia kwa taifa lote?...

au huko magerezani ni wafungwa wangapi wanagoma kula, nayo ni ghasia au maafa kwa taifa?
 
We ni kobas kenge usio jielewa
 
Mwalimu P,
Tumsifu Yesu Kristo!

tafadhali nitakua mfupi sana wa maneno dominica ya leo,

kwanza nakushukuru kwa kuunga mkono yale yaliyokupendeza,
lakini pia niwie sana radhi kwa yale ambayo binafsi naamini ni ya kweli ila yamekukwaza au kukukera wewe na pengine wadau wengine wa jf, kwa namna moja ama nyingine, ingawa najua wazi sababu ya pekee ya kwanini umekereka.
Tatu na mwisho nakushukuru sana kwa ushauri mjurabu sana wa jumla dhidi yangu binafsi, na pengine wadau wote wa jf, wenye maoni au mtazamo kama wangu dhidi ya mchango wa kanisa katoliki katika kuchochea aina ya siasa zinazoendelea Tanzania.

Mwalimu P,
Naomaba kuuliza swali,
hivi ni nani aliwakutanisha Tundu Lisu na Freema Mbowe ndani ya majengo ya kanisa katoliki wakati ule wa vuguvugu la kuelekea uchaguzi wa ndani ya chadema, haswa joto lilipopanda kwenye nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa?

Kwanini kiongozi huyo wa tec kwa niaba ya kanisa katoliki aliingila kati masuala ya siasa tena za chadema na asithubutu kabisa kuchukua hatua kama hiyo na kuingilia kati masuala ya kisiasa ndani ya vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa hakua na nia au dhamira ya kuitumia chadema kujaribu kumuhadaa kiongozi mojawapo wa chadema na kumsaidia aliemkusudia ili hatiamae amtumie katika kupitisha agenda zake za siri na pengine agenda za kanisa katoliki, kwasababu mazungumzo yao yalifanyika ndani ya majengo ya kanisa katoliki?

Tukisema,
huyo kiongozi wa kanisa katoliki alikua anakusudia kumuhujumu yule kiongozi wa chadema ambae hakutaka awe mwenyekiti wa chadema taifa, na in fact alifanikiwa kumuangusha,
na sasa anafanya tu muendelezo wa kupitisha agenda alizokusudia kuzitekeleza kwa naiba ya kanisa katoliki kupitia mgongo wa chadema tutakua tunamuonea au tunamsingizia kiongozi huyo wa kanisa katoliki?

Je,
tabia hii ya kiongozi huyo wa kanisa katoliki haikua miongoni mwa mambo yaliyowakasirisha baadhi ya walei wa kanisa katoliki na kuwachochea wakafanya maandamano ya kumkataa hadi ubalozi wa vatikani?

Je,
Ni mtaalamu gani wa sayansi ya siasa asie jua kwamba ziara ya kichungaji iliyokwamia nje ya gereza ya Askofu wa jimbo katoliki la Singida muhashamu Edward Mapunda katika Gereza la Ukonga ni script ya kiongozi huyo wa tec kwa niaba ya kanisa katoliki?

Nadhani kuhusika kwa kanisa katoliki Tanzania kwenye miongoni mwa mambo ya kisiasa yanyoendelea nchini kupo wazi sana na sidhani kama kunahitajika hata uthibitisho kwasababu hakujifichi na kila mTanzania ana shuhudia.

kwa maoni yangu,
chemistry ya kimtazamo, ukabila, udini na urika wa kiongozi mkuu wa chadema taifa na kiongozi yule wa tec kwa niaba ya kanisa katoliki una vinasaba vya yaliyotokea oct.2029, lakini pia yanayoendelea hivi sasa politically speaking.

Mwalimu P,
kwa heshima, adabu na utii wangu kwako kama mwalimu,muandishi, mzazi, baba, kaka na pengine mjomba wa wadau wengi sana humu jukwaani, tafadhali niwie radhi.

Sikustahili kureply comment yako, ila kwasababu za mshawasha wa juu sana wa kisiasa nilio nao kwasasa, nimeona nisikae kimya, nijieleze walau kwa swali nililouliza hapo juu, but nadhani utakapo reply maelezo haya, kwa heshima ya kiwango kilekile ninachokuheshimu, nitagwaya kukujibu tena, but nitaendelea kudeal na hawa wavamizi na vibwengo wa siasa swiftly and softly bila kuchoka, kuogopa wala kukata tamaa, kwasababu wengi ni saizi yangu halafu nawamudu vizuri tu.

I'm sorry for saying all that Mwalimu P.


Mungu Ibariki Tanzania
 
sasa Lissu kugomea chakula inakuaje ghasia kwa taifa lote?...

au huko magerezani ni wafungwa wangapi wanagoma kula, nayo ni ghasia au maafa kwa taifa?
si yeye gentleman,
hiyo ni script ya kale kajama white ka tec.

hata ile ya Askofu kuzuiwa kuingia Ukonga gerezani ni script ya kale kajamaa ka tec ambako eti hakataki kuonekana kwasababu waamini wataandaman tena kwenda ubalozi wa vatikani kumshitaki


Yeye hana ubavu wa kukaa na njaa even 6hrs tu. Si uliona kipindikile mahakamani alikua anakwenda na kontena la kiporo cha ubwabwa maharagwe hadi kizimbani, au umesahau?
 
Viongozi wetu wa Kanisa Katoliki wasikubali kutumiwa au kutumika na CHADEMA.
Viongozi wa Chadema ni wahuni/ magaidi wanao hamasisha vurugu na uvunjifu wa Amani ya nchi yetu.

Sijui kwanini Msajili wa Vyama vya siasa hafuti hili genge la majambazi.
yaani ni viongozi wawili tu pale tec ndio wanalichafua kanisa katoliki aise kupitia mgongo wa chadema
 
Tlaatlaah
Umeogopa hoja za paschal mayala?
Tlaa tlaa we ni kilazaaa
kivipi nimuogope mwalimu wangu gentleman?

in fact I respect him to the maximum,
and for that respect hua sometimes najizuia even kuchangia thread ambazo yupo kwenye mjadala.

The man is Genius in almost everything in platform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…