Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

Rais Samia ni mrithi wa hayati JPM, asingefariki dunia leo hii angeendelea kuwa makamu.

Hana kipya alichokileta hata hili suala la DPW ni la mtangulizi wake JPM. Na leo angekuwa hai angesaini mkataba pale ikulu Dodoma na hakuna mtu hata mmoja ambaye angekuja kuhoji wala kufungua mdomo wake wote tungepiga makofi na kuimba mapambio mengi tu.

Hii ni biashara waliyoianzisha waarabu waliponunua mali za huko DRC, yeye na Kagame wakaushtukia mchezo na kuungana kama timu moja. Akaenda Kigali na kuongea kirefu juu ya hii deal, Kagame akajenga dry port na JPM akajenga SGR.

Hivyo Samia ni muendelezaji tu wa biashara pana iliyoanza kuandaliwa mazingira ya kufanyika tangu 2015. Ndio maana ya kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
 
No. 3
Huyu mama anacheza ngoma za mafisadi, mbona atakoma?
 
Kwa hiyo?
 
Huu umoja ulioonekana kwenye hii issue ndio huu huu umoja unahitajika kuondoa CCM madarakani na kupata katiba mpya.

Umoja uhahitajika bila kujali dini, kabila, chama, ukanda, historia.

Maslahi ya Taifa na uzalendo kwanza. Sababu nchi hii wakimaliza kuiuza wote tutapata tabu sana bila kujali uchama, dini, kanda.

Umoja mpya unahitajika kupigania maslahi hasa ya Tanganyika.
 
Wewe utakuwa li CHADEMA au Sukuma gang! Ulikuwa umeanza vizuri lakini ulivyohitimisha na shinikizo kwa Rais kuhusu Katiba mpya nimekupuuza!
 
Ufumbuzi atamke kuwa anaboresha tu huo mkataba vipengele tata afute
 
Issue ya Bandari inaweza kuwa sawa ila naona walioko nyuma yake wakipush ajenda inatiamashaja sana, nguvu inayotumika ni kubwa sana, mwenye akili anatefikiria sawasawa lazima atadoubt.
 


Kuwauza wenzako kwa vipande vya dhabu hakukuachi salama
 
Ukweli anapaswa kujua hatukatai wawaekezaje(maana hatuna akili)

Ila huo MKATABA tumeukataa na hauna baraka zetu sisi makajamba nani walalahoi wenye nchi ambao ndio wananchi hasa watanganyika.

Wakiamua kuendelea nao sawa ni wao tu ila muda utasema.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
By far and away Samia Hassan is the worst president in the annals of the country's post independence leadership

Her chief adviser, ex-president Kikwete, is second worst, and there lies the root of her epic failures
 
Malecela mke wake (Anne Kilango Malecela)ni Kati ya wale wabunge 30 walioenda Dubai kulamba asali. Kwahiyo lazima aunge mkono.

Judge Warioba siku zote anasimamia ukweli na haki.
Bila shaka Mzee wa Kigogo aliletewa tende na halua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…