FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Pinga vikali ushughulikiwe!Ushoga unatakiwa kupingwa vikali.
Keyboard worrior! Amka hapo ukawakate mapanga mbona wamejaa mtaani hufanyi lolote!
Mnatusumbua tu na makelele uchwara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinga vikali ushughulikiwe!Ushoga unatakiwa kupingwa vikali.
Ungekuwa fair katika mjadala huu kama ungelitaja kwa jina Jimbo ambalo mbele ya Mungu unashuhudia kuwa ndugu walihukumiwa kwa kosa la ndugu yaoNdugu baadhi ya majimbo watu walio kwenye uchumba sugu wananyanyasika na wanachukuliwa kama wahalifu kwenye kanisa. Embu fikiri mtu anatakiwa kupewa upadre au usista, nazuiliwa kisa kuna ndugu yake hajafunga ndoa! Bado unazuiliwa hizo sakramenti, bado huduma ya ibada ya mazishi unazuiliwa kisa uchumba sugu, huko sio kutengwa huko.
Mungu alishawai kuwachoma moto mashoga hapa Duniani.
Sina power ila ningekuwa nayo ningekuchoma moto,shoga kama wewe haufai kuishi unatakiwa uchomwe moto na majivu yako paia yachomwe moto.Pinga vikali ushughulikiwe!
Keyboard worrior! Amka hapo ukawakate mapanga mbona wamejaa mtaani hufanyi lolote!
Mnatusumbua tu na makelele uchwara!
Acha kiherehere.unatolewa mahali kabisa mwanaume na unaolewa na wewe unaona kabisa sio kosa,dah aisee hatari sana.
mashoga mpigwe kibiriti mtoweke.Acha kiherehere.
Sio kila dhambi ni uhalifu. Mfano, kuna nchi nyingi duniani (karibu zote) adhabu ya kifo ni halali, lakini kwa Kanisa Katoliki adhabu hiyo ni dhambi ya kuua. Pia kuna nchi nyingi baadhi ya njia za kupanga uzazi ni halali, wakati kwa Kanisa Katoliki njia hizo ni dhambi!Kwa hiyo shoga kufanya ushoga ni dhambi dhambi sio uhalifu!
Anza kuwachoma moto ushughulikiwe [emoji23].Mungu mwenyewe ndo aliwachoma moto mashoga kaonyesha mfano vile mnatakiwa mfanywe,mnatakiwa mchomwe moto nyinyi ni najisi hamfai kuishi.
Religion ipi kaka sasa????Ya magharibi au ya mashariki?????Tueleweshe kakaAcha indelee kunyesha huenda waafrika tutafunguka akili zetu nakuelewa this religions are just scams.
Papa kaongea vizuri sana tatizo wenye akili fupi ndio mtigwagha .Hello Wadau.
Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga Mwingi Kwa Kuunga mkono ushoga na kusema Mashoga sio wahaliifu, na kwamba ni Wana wa Mungu pia.[emoji849][emoji849]
Haijaeleweka mara Moja ikiwa huu ndio Msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni ya binafsi ya Papa Francis.
Commets ziwe fupi fupi tafadhali.
------
Papa Francis amekosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki", akisema Mungu anawapenda watoto wake wote jinsi walivyo na kuwataka maaskofu wa Kikatoliki wanaounga mkono sheria hizo kuwakaribisha watu wa LGBTQ kanisani.
"Kuwa mpenzi wa jinsia moja si kosa," Francis alisema wakati wa mahojiano Jumanne na The Associated Press.
Francis alikiri kwamba maaskofu wa Kikatoliki katika baadhi ya sehemu za dunia wanaunga mkono sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja au kubagua jamii ya LGBTQ, na yeye mwenyewe alitaja suala hilo kwa maneno ya "dhambi".
Lakini alihusisha mitazamo hiyo na asili ya kitamaduni na kusema maaskofu hasa wanahitaji kupitia mchakato wa mabadiliko ili kutambua utu wa kila mtu.
"Maaskofu hawa wanapaswa kuwa na mchakato wa uongofu," alisema, akiongeza kwamba wanapaswa kutumia "huruma, upole, kama Mungu ana kwa kila mmoja wetu".
Baadhi ya nchi 67 au mamlaka duniani kote zinaharamisha shughuli za ngono za watu wa jinsia moja zilizokubaliwa, 11 kati ya hizo zinaweza au kutoa hukumu ya kifo, kulingana na Human Dignity Trust, ambayo inafanya kazi kukomesha sheria hizo. Wataalamu wanasema kwamba hata pale ambapo sheria hazitekelezwi, zinachangia unyanyasaji, unyanyapaa na ubaguzi dhidi ya watu wa LGBTQ.
Nchini Marekani, zaidi ya majimbo kumi na mbili bado yana sheria za kupinga mapenzi ya jinsia moja kwenye vitabu, licha ya uamuzi wa Mahakama ya Juu wa 2003 kutangaza kuwa ni kinyume cha katiba.
Umoja wa Mataifa mara kwa mara umekuwa ukitoa wito wa kukomeshwa kwa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja , ukisema zinakiuka haki za faragha na uhuru wa kutobaguliwa na ni ukiukaji wa majukumu ya nchi chini ya sheria za kimataifa kulinda haki za binadamu za watu wote, bila kujali mwelekeo wao wa kijinsia au utambulisho wa kijinsia.
Akitangaza sheria kama hizo "sio za haki", Francis alisema Kanisa Katoliki linaweza na linapaswa kufanya kazi ili kukomesha. "Lazima ifanye hivi. Ni lazima ifanye hivi,” alisema.
Francis alinukuu Katekisimu ya Kanisa Katoliki kwa kusema wapenzi wa jinsia moja lazima wapokewe na kuheshimiwa, na hawapaswi kutengwa au kubaguliwa.
"Sisi sote ni watoto wa Mungu, na Mungu anatupenda jinsi tulivyo na kwa nguvu ambayo kila mmoja wetu anapigania utu wetu," Francis alisema, akizungumza na AP katika hoteli ya Vatican anakoishi.
Sheria hizo ni za kawaida barani Afrika na Mashariki ya Kati na ni za wakati wa ukoloni wa Waingereza au zimeongozwa na sheria za Kiislamu.
Baadhi ya Maaskofu wa Kikatoliki wameziunga mkono kwa nguvu kwamba zinaendana na mafundisho ya Vatikani ambayo yanachukulia vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kuwa "vina machafuko ya asili", huku wengine wakitaka zibatilishwe kama ukiukwaji wa utu msingi wa binadamu.
Mnamo mwaka wa 2019, Francis alitarajiwa kutoa tamko la kupinga kuharamishwa kwa mapenzi ya jinsia moja wakati wa mkutano na vikundi vya haki za binadamu ambavyo vilifanya utafiti juu ya athari za sheria kama hizo na kile kinachoitwa "matibabu ya ubadilishaji".
Hatimaye, papa hakukutana na makundi, ambayo badala yake yalikutana na mtu Nambari 2 Vatikani, ambaye alithibitisha tena "hadhi ya kila mtu na dhidi ya kila aina ya vurugu".
Siku ya Jumanne, Francis alisema kuna haja ya kuwa na tofauti kati ya uhalifu na dhambi kuhusiana na mapenzi ya jinsia moja.
"mapenzi ya jinsia moja si kosa," alisema. "Sio uhalifu. Ndio, lakini ni dhambi. Sawa, lakini kwanza tutofautishe kati ya dhambi na uhalifu.”
"Pia ni dhambi kukosa hisani," aliongeza.
Mafundisho ya Kikatoliki yanashikilia kwamba ingawa wapenzi wa jinsia moja lazima waheshimiwe, vitendo vyao "vina machafuko ya asili". Francis hajabadilisha mafundisho hayo, lakini amefanya kufikia jumuiya ya LGBTQ kuwa alama mahususi ya upapa wake.
Kuanzia na tamko lake maarufu la 2013: "Mimi ni nani kuhukumu?" alipoulizwa kuhusu kasisi aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa jinsia moja , Francis ameendelea kuhudumu mara kwa mara na hadharani kwa jumuiya ya wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsia .
Akiwa askofu mkuu wa Buenos Aires, alipendelea kutoa ulinzi wa kisheria kwa wapenzi wa jinsia moja kama njia mbadala ya kuidhinisha ndoa zao, jambo ambalo mafundisho ya Kikatoliki yanakataza.
Licha ya mawasiliano hayo, Francis alikosolewa na jumuiya ya Wakatoliki wa LGBTQ kwa amri ya 2021 kutoka ofisi ya mafundisho ya Vatikani kwamba kanisa haliwezi kubariki muungano wa watu wa jinsia moja "kwa sababu Mungu hawezi kubariki dhambi".
Vatikani mwaka wa 2008 ilikataa kutia saini tamko la Umoja wa Mataifa lililotaka kukomeshwa kwa mapenzi ya jinsia moja, ikilalamika kuwa maandishi hayo yalikwenda nje ya upeo wa awali na pia yalijumuisha lugha kuhusu "mwelekeo wa kijinsia" na "utambulisho wa kijinsia" .
Katika taarifa yake wakati huo, Vatikani ilizitaka nchi kuepuka "ubaguzi usio wa haki" dhidi ya wapenzi wa jinsia moja na kukomesha adhabu dhidi yao.
Chanzo: BBC Swahili
Sina iyo power ila ningekuwa nayo ningekuchoma moto shoga wewe.Anza kuwachoma moto ushughulikiwe [emoji23].
Huna ujasiri huo wewe, binti mwoga mwoga tu.
Maneno mingiii, bure kabisa!
Ipi sasa.kaka???? Islam or Christian???Dini za kipumbavu sana hizi
Hahahaa una hasira za kukosa hela.Sina power ila ningekuwa nayo ningekuchoma moto,shoga kama wewe haufai kuishi unatakiwa uchomwe moto na majivu yako paia yachomwe moto.
Hahahaaa. Hasira kali.mashoga mpigwe kibiriti mtoweke.
Wasabato na waislamu ndio akina nani mkuu???AIBU kama ni kweli: Ngoja wasabato na waislamu waione hii. Waumini watakoma.
Hahahaa... power utaitoa wapi masikini mkubwa wewe!Sina iyo power ila ningekuwa nayo ningekuchoma moto shoga wewe.
Piga kibiriti mashoga wote na vitu vyao iwe nguo,nyumba n,k piga moto msije mkaacha maagano yaawavagaa kizazi kilicho baki,piga moto mpaka kandambili.Hahahaaa. Hasira kali.
Leo unajidai ww sio mkatoliki jamaa.haya sasa wakatholic jiandaeni kisaikolojia mdogo mdogo mnaanza kupangwa
Zote mbili ni za kiwaki tu, kwani ungezaliwa china-budha, Europe-christians,india-hinduism ukija afrika ni majanga tu??Religion ipi kaka sasa????Ya magharibi au ya mashariki?????Tueleweshe kaka