Huwezi kusema sio uhalifu hali ya kuwa nchi nyingine kuna sheria zinazo utambua kama uharifu.
Kitu chochote uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika na ndio maana unaweza kuta Tz kitu fulani ni uharifu kwa sababu ya sheria zetu lakini ukaenda kenya ukakuta hakichukuliwi ka uhalifu.
Sasa huyo papa hayo mamlaka ya kuamlia dunia nzima kuwa huu ni uharifu na huu sio uharifu ameyatoa wapi?
 
Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]
 
Write your reply...HAKUPASWA KUSEMEA CHOCHOTE KUHUSU USHOGA.HAKUNA RIGHT YA MASHOGA KWENYE IMANI.ukiruhusu tu basi utakuwa umeleta mkanganyiko wa imani.ushoga ni dhambi masuala mengine wachie hao wanaharakati we baki na yako imani
 
Na wale ambao kanisani wanatamka Yawheh wangepigwa mawe hadi kufa
 
Aseeee kuna majitu yana akili nyingi duniani mpaka yanakera. BRO BRAVOO!! kiukweli nakuelewa sana unavyoandika. Unajua watu wengi wametanguliza hisia sana kwenye hii statement by the way unaeleweka na hata mtoto wa nursery
 
Ni kweli, matendo ya ushoga yanatia kinyaa kabisa. Lakini, na hayanaifa yoyote kwa jamii kama kuzaa na kuongezeka. Shida ni kuwa yanakuwaje jinai na uhalifu?
 
Papa hajakosea.
Ushoga sio kosa la uhalifu bali ni dhambi.
Jambo uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika kwenye nchi yako kutembea na mke wa mtu au kufanya uzinzi sio uharifu lakini kuna baadhi ya nchi ukitembea na mke wa mtu unahesabika kama uharifu mwingine na unaenda jera.
Hivyo papa hapaswi kuisemea dunia nzima .
 
Huenda ni shinikizo kapata....anakubali na kukataa at the same time!
 
SAsa hao wanaendesha dini KWA kufuata katiba ya nchi na sio muongozo wa Ukristo.
Hawana tofauti na mitume na manabii wanaoruhusu wanawake wanaovaa isivyo KWA maadili ya Kikristo kuingia makanisani mwao sababu watakosa sadaka.
Kanisa kufuata utamaduni wa eneo husika badala ya Muongozo wa Biblia,huko ni kwenda kinyume na mafundisho ya dini.
Kanisa na siasa havichangamani.
Katiba ya nchi inahudumia watu wote wa Mungu na wa shetani. Dini inatakiwa isimame kama dini hata kama atasali mtu mmoja, wanaotaka kujiunga na dini wafate misingi ya dini na sio dini ifate misingi ya katiba.
 
umemaliza mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…