Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Zombi likikukuta linakuambia uwe zombi?Wewe kuna Mtu alishakwambia uwe shoga? [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zombi likikukuta linakuambia uwe zombi?Wewe kuna Mtu alishakwambia uwe shoga? [emoji15]
Huwezi kusema sio uhalifu hali ya kuwa nchi nyingine kuna sheria zinazo utambua kama uharifu.Umeelewa kilichoandikwa? Au unasoma lakini uelewa ndiyo shida?
Badala ya kujishughulisha na hoja wewe unaanza kydandia watu ili wakubebe na utabebwa kweli.
Yeye amesema hilo tendo siyo uharifu bali ni dhambi.
Kuna mambo yanatafsiri uharifu, na dhambi ina tafsiri yake.
Haya hebu wewe tutafsirie uharifu wa hao watu?
Wenye uelewe mdogo ndiyo mmejiweka mstari wa mbele kupinga ushoga matokeo yake ninyi ndiyo chambo mnadakwa kilaini kabisa na kumegwa kimasikhara.
Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]Lengo kuu la ushoga ni kuondoa mankind,ni ajenda za kufuta uzao wa binadamu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukojolewa then akawa timamu anaondolewa utu wake.
Thus shoga hana thamani kwenye Jamii ni SAwa na pigs, hawezi simama kwenye Jamii anaonekana ni takataka.
Wengi ni kama Wana shida ya mental uishi hatia.
Shoga azai
Nimeamka muda check yo whtspNaona ndo unaamka [emoji52]
Na wale ambao kanisani wanatamka Yawheh wangepigwa mawe hadi kufaYote uliyoyaongea nayaelewa na kwa akili za kibinadamu ni sawa lakini kwa kuwa tunamuongelea Papa kwa kauli yake bhasi inabidi tumpime kwa matakwa ya Mungu na si matakwa yetu
Papa kasema si haki kwa nchi mfano kuwatolea hukumu ya kifo kitu ambacho kwa agano la kristu kipo sawa kwa sababu msamaha huja kwanza pale mtu atakapoomba toba
Hivyo, ukimuua mtu unamuondolea nafasi ya kutubu
Je, vipi wakisema kwenye amri za Mungu, mtu akivunja hata moja auwawe
Je, ni nani atasimama.. Jibu HAKUNA
Hiyo ndio mantiki ya papa katika msingi wa kuamini kuwa kila binadamu anastahili nafasi ya kuishi na kuomba toba
Kuhusu mantiki zetu za kibinadamu, tupo sawa kwa ubinadamu wetu lakini hatuwezi kulazimisha iwe ni mantiki ya agano jipya unless tulifute ili kurudia sheria za Musa ambapo hata mwanamke mzinzi.. Angehukumiwa kupigwa mawe hadi kufa
Aseeee kuna majitu yana akili nyingi duniani mpaka yanakera. BRO BRAVOO!! kiukweli nakuelewa sana unavyoandika. Unajua watu wengi wametanguliza hisia sana kwenye hii statement by the way unaeleweka na hata mtoto wa nurseryYote uliyoyaongea nayaelewa na kwa akili za kibinadamu ni sawa lakini kwa kuwa tunamuongelea Papa kwa kauli yake bhasi inabidi tumpime kwa matakwa ya Mungu na si matakwa yetu
Papa kasema si haki kwa nchi mfano kuwatolea hukumu ya kifo kitu ambacho kwa agano la kristu kipo sawa kwa sababu msamaha huja kwanza pale mtu atakapoomba toba
Hivyo, ukimuua mtu unamuondolea nafasi ya kutubu
Je, vipi wakisema kwenye amri za Mungu, mtu akivunja hata moja auwawe
Je, ni nani atasimama.. Jibu HAKUNA
Hiyo ndio mantiki ya papa katika msingi wa kuamini kuwa kila binadamu anastahili nafasi ya kuishi na kuomba toba
Kuhusu mantiki zetu za kibinadamu, tupo sawa kwa ubinadamu wetu lakini hatuwezi kulazimisha iwe ni mantiki ya agano jipya unless tulifute ili kurudia sheria za Musa ambapo hata mwanamke mzinzi.. Angehukumiwa kupigwa mawe hadi kufa
Mama hebu toka huku kwanza 😂Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]
Ni kweli, matendo ya ushoga yanatia kinyaa kabisa. Lakini, na hayanaifa yoyote kwa jamii kama kuzaa na kuongezeka. Shida ni kuwa yanakuwaje jinai na uhalifu?Lengo kuu la ushoga ni kuondoa mankind,ni ajenda za kufuta uzao wa binadamu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukojolewa then akawa timamu anaondolewa utu wake.
Thus shoga hana thamani kwenye Jamii ni SAwa na pigs, hawezi simama kwenye Jamii anaonekana ni takataka.
Wengi ni kama Wana shida ya mental uishi hatia.
Shoga azai
Zombi ni hali ya kupagawa na roho chafu ya kishetani. Ushoga ni namna mojawapo ya uzombi bila msaada hakuna kuchomoka.Zombi ni nini?
Zombi ndio vitu gani wewe Mcharo hebu hukoooZombi likikukuta linakuambia uwe zombi?
Jambo uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika kwenye nchi yako kutembea na mke wa mtu au kufanya uzinzi sio uharifu lakini kuna baadhi ya nchi ukitembea na mke wa mtu unahesabika kama uharifu mwingine na unaenda jera.Papa hajakosea.
Ushoga sio kosa la uhalifu bali ni dhambi.
Coming.....Nimeamka muda check yo whtsp
Mjibu hivi," Ile sehemu imetengwa maalumu kwa kazi hiyo, kinyume na hapo ni unajisi"Mama hebu toka huku kwanza 😂
Mbona mkorofi sana
Nacheka mie hujui tu [emoji2960]Mama hebu toka huku kwanza [emoji23]
Mbona mkorofi sana
SAsa hao wanaendesha dini KWA kufuata katiba ya nchi na sio muongozo wa Ukristo.View attachment 2495432
Hii line hapa kutoka main post wewe umeielewaje?na nimeandika ktk post uliyoni-quote nayo kwamba mazingira ya Tanzania Maaskofu wanaweza kuharamisha ushoga kwa sababu ya Tanzania kwanza kama taifa katiba haiutambui pia utamaduni wetu hauruhusu huo ujinga but Maaskofu pale America taifa linaloutambua ushoga hadi kwenye katiba yao hawawezi kusema hivi kwa sababu taifa na wananchi wake wanautambua ushoga na pia kusema hivi moja kwa moja watakuwa wamewafukuza Kanisani so waachwe waingie kuchangamana na wenzao wadhambi wenzao kama wazinzi wezi nk ili kila mmoja atubie dhambi zake.
umemaliza mjadalaHuwezi kusema sio uhalifu hali ya kuwa nchi nyingine kuna sheria zinazo utambua kama uharifu.
Kitu chochote uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika na ndio maana unaweza kuta Tz kitu fulani ni uharifu kwa sababu ya sheria zetu lakini ukaenda kenya ukakuta hakichukuliwi ka uhalifu.
Sasa huyo papa hayo mamlaka ya kuamlia dunia nzima kuwa huu ni uharifu na huu sio uharifu ameyatoa wapi?
Huyaoni yanavyotembea vidole kule na kuleZombi ndio vitu gani wewe Mcharo hebu hukooo