Nimekuambia tuache unafiki, tuzungumze ukweli ndipo itakuwa rahisi kuondoa tatizo. Nchini kwako ulishasikia kuna kesi inaunguruma mahakamani ya Jamuhuri dhidi ya shoga?Acha justfication papa kakosea sana kukubali nchi zikubali mapenzi ya jinsia moja ni kukubali ushoga kwenye jamii, ni kukubali dhambi nilitegemea yeye ndiyo akataze nchi za ulaya kupitisha sheria za aina izoo ila yeye ndyo kahalalisha wakubaliwe hakuna mtu asiyetenda dhambi na wote ni watoto wa Muumba lkini waje kanisa kutubu na kuacha siyo waje ndani ya kanisa kma watu wa jamii izoo na kanisa halitakiwi kutambua mapenzi au ndoa za namna iyoo
Sio mashoga tu, hata wazinzi, wezi, wasema uongo wapo katika jamii zetu, tunajifariji tu kujifanya sisi ni wasafi. Isitoshe katika familia yako kuna mtu ambaye ni mzinzi, mwizi, msema uongo, shoga nk ila mitandaoni unajidai kuwa tuwatenge. Huko kwenye familia mmemtenga?Kwenda zako huko, yaani unawatetea mashoga
Hahahahahaaaaa!La masenge 😂😂
Kwan kila kosa ni dhambi?Kama sio kosa, uhalifu, lakini ni dhambi, sasa kosa na uhalifu sio ni aina ya dhambi? Sasa yeye kazi yake sio kuwaelekeza hao mbinguni? Je, anachukua hatua gani dhidi ya dhambi hiyo? Hivi Yesu wa Nazareti wakati akiwa duniani alilishughulikia suala ili kivipi?
Hivi ile ya Sodoma na Gomola (kama ni kweli) kulikuwa hakuna serikali au serikali kama ilikuwepo ilihalalisha suala hilo?
Nature inaonesha vitendo hivyo sio sahihi. Halafu kuna sayansi inachochea mambo hayo, badala ya kuwa na sayansi ya kuzuia mambo hayo.
Umezipeleka wapi?Ipo kesi ilifunguliwa mwaka 2020, walishitakiwa wanaume 7, na nakala za mashtaka nilikuwa nazo
Hakuna lolote, hao wote wanaoshabikia kuwa Papa anasapoti ushoga, ni mawakala wa kueneza hii agendaNadhani hamlijui vizuri Kanisa Katoliki,huyo papa kama kayasema hayo soon ataondolewa kwenye hicho Kiti
Watu hawataki kuelewa. Kadhalika kanisa haliwezi kuruhusu hizo ndoaRead between the lines, Anyway,
- Ni kweli sote ni wa Muumba
-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.
Ila je, amesema sio dhambi?
Baadhi ya mafundisho ya kikatoriki yanakinzana na biblie hivo basi viongonzi wanahaha ni namna gan biblie ifanyiwe uchakajuaji ili wahalalishe niaovo kwa jamii,ukienda kichwa kichwa utanunua biblia ya hovyo,refer amri10 za Mungu ambavyo zimechezewa huko roma
Yeye kwan ni mwanasheria au Kiongoz wa Dini, Kiongoz wa Dini kazi yake ni kuikemea dhambi yoyote ile bila kujali kama ni uhalifu au laa kwa sheria za Kidunia.Read between the lines, Anyway,
- Ni kweli sote ni wa Muumba
-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.
Ila je, amesema sio dhambi?
Kasema si uhalifu, sasa ukitaka aseme ni uhalifu wakati sheria za nchi husika zimeruhusu? Na poa kasema ni dhambi sababu dini yake hairuhusu hayo mambo, ulitakaje sasa?Yeye kwan ni mwanasheria au Kiongoz wa Dini, Kiongoz wa Dini kazi yake ni kuikemea dhambi yoyote ile bila kujali kama ni uhalifu au laa kwa sheria za Kidunia.
Hayo makanisa yanaunga mkono ushoga. PERIOD
Biblia anayoifuata inasemaje kuhusu ushoga si ni dhambi! Kwann anaonesha kuitetea kwasbb tu si uhalifu, sijui unanielewa vzurKasema si uhalifu, sasa ukitaka aseme ni uhalifu wakati sheria za nchi husika zimeruhusu? Na poa kasema ni dhambi sababu dini yake hairuhusu hayo mambo, ulitakaje sasa?
Si kasema ni dhambi kwa mujibu ea imani yake? Ulitakaje sasa?Biblia anayoifuata inasemaje kuhusu ushoga si ni dhambi! Kwann anaonesha kuitetea kwasbb tu si uhalifu, sijui unanielewa vzur
Anaitetea dhambi kwa kuwa si uhalifu😁😁, so funny...kimantiki anachomanisha huyo Kiongoz wako ni kwamba ushoga ni dhambi ila si uhalifu kwaio wasipingwe, means kwamba anaunga mkono ushoga....wakat yeye ndo ilibid awe wa kwanza kupinga na kuikemea kwamba isifanywe hiyo dhambiSi kasema ni dhambi kwa mujibu ea imani yake? Ulitakaje sasa?