Ibnkundende
Member
- May 27, 2022
- 7
- 6
πΌπππππππππππ π€π πΌππππππππ¦π π
ππππ’π’π.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zonda usipoteze mada kaka!!!!Au ndio mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu ............. .............kaka???Hili uliambiwa bar au kanisani!?
Tupe msimamo wako Khs ushoga,Huwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread
Papa hajasema ushoga sio dhambi na hana mamlaka hiyo ya kuihalalisha dhambi maana ukisema anayo bhasi utaamini papa yupo juu ya mamlaka ya Mungu, kitu ambacho si kweli
Ila kitu alichomaanisha
"Kila uhalifu ni dhambi Ila si kila dhambi ni uhalifu"
Ndio maana hata wewe upo huru kuisaliti ndoa yako utakavyo pasipo dini kusema upigwe mawe kwa sababu si uhalifu
Kingine Mungu aliiteketeza sodoma na Gomorah kwa sababu ya homosexuality lakini gharika ya Mungu iliteketeza kila mtu. hata Yona alitumwa kuwahubiria watu wa ninawi kuwa hasira ya Mungu ipo juu yao na mji ungeteketezwa
Hivyo, utaona kuwa HASIRA YA MUNGU IPO KATIKA KILA UHARIBIFU NA UCHAFU TUNAOUFANYA
Na kama haitoshi, biblia ikaainisha wazi kuwa ni dhambi gani isiyosameheka
M A R K O 3:28-29 βAmin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya mileleβ.
Hivyo, wewe mzinzi, mlevi, msengenyaji, mwizi na kila aina ya dhambi, HASIRA YA MUNGU IPO JUU YETU SOTE lakini Mungu kwa rehema zake, wote ni wake na tunastahili msamaha wake tukijinyenyekeza na kufanya toba
Hivyo,kwa kauli hii, papa hajakosea [emoji1431][emoji1431]
ππππUmeanza vizuri sana ila umekuja kumaliza vibaya, kwenye mtungi kamnyweso hapo umetukosea sana yaaani mimi nilewe niwe sawa na aliyefirwa???
Mashoga wasibugudhiwe.Dini ni utapeli na utumwa kwa waafrika.
Religion is a crowd control..
Hau hitaji kuwa na dini ili kumjua Mungu.
Hawa viongozi wa makanisa na dini ni matapeli.
Mungu habariki watu kupitia Mtu. Haijalishi huyo mtu ni kiongozi au mtakatifu kiasi gani.
Inabidi tuwe na uhusiano mzuri na Mungu na kufanya yale yaliyo mema.
Spirituality is the personal relationship with the Divine.....
Hata iweje siwezi kukubaliana na ushoga, yani waruhusu kufungisha ndoa za jinsia moja kwan hiyo ndio namna ya kuitokomeza hiyo dhambi?Tunaambiwa kila siku ya kwamba Yesu alikuja duniani kwaajili ya watenda dhambi. Iweje watenda dhambi nyingine muwakaribishe makanisani tunasali nao na kuishi nao vizuri lakini mashoga muwatenge?
Kama kweli mnataka waachane na hiyo dhambi kwanini hamkai nao karibu mkiwaombea na kuwafundisha kuacha dhambi.
Wakristu ni watu wanafiki sana kuwahi kutokea hapa duniani.
Litabaki jina ila nguvu na imani itapungua sana, nawewe unasapoti ushoga?Hakuna cha mpasuko wala nini.
Watapasuka wao lakini kanisa litabaki.
Kwani Kanisani tunatambuana kwa dhambi zetu? Hata muda wa meza ya Bwana kila mtu anaenda kwa kupima hali yake ya kiroho. Kanisa halijawahi kutenga mashoga ila kama huo ushoga ni bayana kasisi anaweza kukataa kukupa Ekaristi ila sio kukatazwa kupata huduma zingine za wokovu kama kitubio, kusali misa bila kupokea Ekaristi n.kTunaambiwa kila siku ya kwamba Yesu alikuja duniani kwaajili ya watenda dhambi. Iweje watenda dhambi nyingine muwakaribishe makanisani tunasali nao na kuishi nao vizuri lakini mashoga muwatenge?
Kama kweli mnataka waachane na hiyo dhambi kwanini hamkai nao karibu mkiwaombea na kuwafundisha kuacha dhambi.
Wakristu ni watu wanafiki sana kuwahi kutokea hapa duniani.
Hata iweje siwezi kukubaliana na ushoga.
nawewe unasapoti ushoga?
Ni wapi amesema ndoa za jinsia moja zimeruhusiwa.? Labda imenipita hii nionyeshe tafadhali.Hata iweje siwezi kukubaliana na ushoga, yani waruhusu kufungisha ndoa za jinsia moja kwan hiyo ndio namna ya kuitokomeza hiyo dhambi?
Nitajie hizo dhambi nyingne unazosema tunazikaribisha.
Kwenye maisha ya kawaidaAIBU kama ni kweli: Ngoja wasabato na waislamu waione hii. Waumini watakoma.
ZoteIpi sasa.kaka???? Islam or Christian???
Padre akikataa kumpatia shoga ekaristi atakuwa amebagua. Kwasababu padri huyo huyo anampatia mtu ekaristi akifahamu fika huyu ni mzinzi, mlevi au mwizi. Mbona hawabagui hao?Kwani Kanisani tunatambuana kwa dhambi zetu? Hata muda wa meza ya Bwana kila mtu anaenda kwa kupima hali yake ya kiroho. Kanisa halijawahi kutenga mashoga ila kama huo ushoga ni bayana kasisi anaweza kukataa kukupa Ekaristi ila sio kukatazwa kupata huduma zingine za wokovu kama kitubio, kusali misa bila kupokea Ekaristi n.k
Haya mambo yakipata hizo "civil right" alafu shoga akajiunga seminari mkimfukuza ni kinyume cha sheria maana hizo seminari zinasajiliwa kisheria pia.
Sisi wote wadhambi tuombe "civil right" ? Wanaojiuza nao wakipata nguvu nao tuwatambue kisheria then shule ikijua mwanachuo anajiuza asiguswe sababu ni halali?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tayari imesharipotiwa tukio la ndoa ya jinsia moja ndani ya kanisa katoliki mwaka jana 2022. Haya ni matunda ya kuwakumbatia mashoga, hawafukuzwi kanisani lakini hawapaswi kuonesha kuwasapoti hadi kufikia ndoa.Ni wapi amesema ndoa za jinsia moja zimeruhusiwa.? Labda imenipita hii nionyeshe tafadhali.
Pia hakuna mahali amekwambia uukubali ushoga, ukatae na uendelee kuukataa lakini mashoga ni binadamu kama binadamu wengine wanaofanya uzinzi na ufiraji ambao wapo humu kwenye huu uzi kuupinga ushoga.
Fake news![emoji30]Kiongozi wa kanisa katoriki papa Francis amekisoa sheria zinazo haramisha Ushoga na kuwataka baadhi ya maaskofu wanao ziunga mkono sheria hizo kuacha Mara moja.
Kwa mujibu wake ana sema ushoga si uharifu, wala mashoga si waharifu bali na wao ni watoto wa Mungu hivyo kuwasakama ni dhambi.
Amesisitiza kuwa mapenzi ya jinsia moja sio kosa wala si dhambi.View attachment 2495357
Kama watakuja utawajua kwa matendo yao boss.Wasabato na waislamu ndio akina nani mkuu???