Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Alichofanya papa ni sawa na kumkuta mwizi anapigwa mawe, ukatuliza kadamnasi yakuwa mwizi hapaswi kupigwa kwakuwa kuna haki za binadamu na kumpiga ni kumvunjia haki yake BILA kusema kuwa alichofanya mwizi ni KOSA/DHAMBI na anastahili hukumu.

Hawa viongozi wa dini wako kiupigaji zaidi hawakemei dhambi directly just ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kuna tofauti kati ya uhalifu, kosa na dhambi. Kwa kutumia huo mfano wa mwizi, wizi ni uhalifu, ni kosa na ni dhambi. Kumpiga mwizi ni kosa lakini siyo uhalifu wala dhambi. Kuua mwizi ni kosa, ni uhalifu pia ni dhambi. Kuoa binti chini ya miaka 18 ni kosa lakini siyo dhambi. Kubaka ni kosa, ni uhalifu lakini pia ni dhambi. Ujangili ni uhalifu na ni kosa lakini siyo dhambi. Ushoga siyo uhalifu lakini linaweza kuwa kosa baadhi ya nchi lakini ni dhambi. Ukimuona shoga usimuone kama mhalifu bali muone kama mdhambi kama unavyomuona slay queen anayedanga
 
Tupe msimamo wako Khs ushoga,
Are in or out, usilete habar za neutrality [emoji4]
Ulisoma mwanzoni mwa comment yangu kwako brother

"Huwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread"

Huwa sichangii kuepuka character assassination zinazoepukika

sadly, baada ya comment yangu umeshindwa kuendeleza mjadala au kusema kama nipo right or wrong instead umeuliza kuhusu msimamo wangu kama attempt ya kupata angle ya kudiscredit nilichosema and worse enough nipate attacks ili wewe upate ushindi 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️

Samahani kama nimetumia maneno mabaya kwako Ila I'm not that stupid kucheza hizo child plays and rat races brother 🙏🏽🙏🏽
 
Bro hii mada imeletwa na wanaharakati ili kuuponda ukristo!!!Kwani wewe wsnaharakati húwajui mitazamo yao kuhusu imani za watu wengine!!
Huwa napishana sana na hizi mada za dini na mara nyingi huwa sichangii Ila leo nikaona sio maaya kutia neno mkuu
 
Padre akikataa kumpatia shoga ekaristi atakuwa amebagua. Kwasababu padri huyo huyo anampatia mtu ekaristi akifahamu fika huyu ni mzinzi, mlevi au mwizi. Mbona hawabagui hao?

Pia tambua ya kwamba kuna nchi ambazo prostitution imeruhusiwa na wamewekewa sheria kodi wanalipa vzr tu.

Na kama nyie wakristu mnaamini ya kwamba Mungu ndo anatoa hukumu iweje mlete makasoriko kwenye hili? Mnamsaidia Mungu kuhukumu ama vipi?
Huelewi hoja, Kama unaishi na mwanamke bila ndoa maana yake hiyo ni dhambi ambayo umeamua kuishi na Padre akijua hakupi Ekaristi hadi ujirekebishe. Kama ni shoga dhahiri na unajitangaza hivyo mfano unatetea ushoga hadharani na Padre anajua hawezi kukupa Ekaristi labda nae akengeuke!

Dhambi nyingine huwezi kupima dhamira ya mtu na kama ametubu au la. Mfano mimi nimesali parokia ambayo moja ya muumini alikuwa na hizo tuhuma muda mrefu ikiwemo tabia za kike lakini hakutengwa! Yumkini ni mtu aliye kwenye hali hiyo lakini si dhamira yake anapambana kiroho. Ni tofauti na mtu aliye wazi na kutetea hadharani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Na shoga anayejiweka wazi hathubutu kwenda kanisani. Wanaoenda ndio hao mnao watuhumu lakini hamna uhakika zaidi ya tuhuma na ekaristi wanapewa.
 
kiongozi wa dini unasimama kwenye angle ya imani.ushoga na dhambi full stop.
Kila mtu ni mdhambi. Kumbuka kauli ya Yesu, asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe'. Mungu anampa kila mdhambi nafasi ya kutubu. Papa angeqaita mashoga ni wahalifu wangewindwa kama majambazi, amani ingevurugika
 
Katumia lugha ya wasioelewa lakini kwa waelewa wa codes and meaning wanaelewa kuhusu mtazamo wake.
Huwezi tenganisha dhambi na uhalifu.
Kifupi yeye anasapoti ndoa za jinsia moja.
 
Back
Top Bottom