Huelewi hoja, Kama unaishi na mwanamke bila ndoa maana yake hiyo ni dhambi ambayo umeamua kuishi na Padre akijua hakupi Ekaristi hadi ujirekebishe. Kama ni shoga dhahiri na unajitangaza hivyo mfano unatetea ushoga hadharani na Padre anajua hawezi kukupa Ekaristi labda nae akengeuke!
Dhambi nyingine huwezi kupima dhamira ya mtu na kama ametubu au la. Mfano mimi nimesali parokia ambayo moja ya muumini alikuwa na hizo tuhuma muda mrefu ikiwemo tabia za kike lakini hakutengwa! Yumkini ni mtu aliye kwenye hali hiyo lakini si dhamira yake anapambana kiroho. Ni tofauti na mtu aliye wazi na kutetea hadharani.
Sent from my SM-A315F using
JamiiForums mobile app