The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Angesema siyo dhambi nisingemuelewa na hii kwangu mwenye imani haiwezi kunitoa kwenye reli kwa sababu hakuna anayejua hatma ya mtu hadi aseme fulani ana dhambi yule ana dhambi kidogo na mimi sina dhambi kabisa!AIBU kama ni kweli: Ngoja wasabato na waislamu waione hii. Waumini watakoma.
Kama amesema ushoga siyo dhambi sawa Ukatoliki upingwe ila kama amesema ni dhambi basi ieleweke ni dhambi kama zilivyo dhambi nyengine na wote kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji lazima wakaribishwe kusali ili wapate fursa ya kutubia dhambi zao.