Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
AIBU kama ni kweli: Ngoja wasabato na waislamu waione hii. Waumini watakoma.
Angesema siyo dhambi nisingemuelewa na hii kwangu mwenye imani haiwezi kunitoa kwenye reli kwa sababu hakuna anayejua hatma ya mtu hadi aseme fulani ana dhambi yule ana dhambi kidogo na mimi sina dhambi kabisa!

Kama amesema ushoga siyo dhambi sawa Ukatoliki upingwe ila kama amesema ni dhambi basi ieleweke ni dhambi kama zilivyo dhambi nyengine na wote kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji lazima wakaribishwe kusali ili wapate fursa ya kutubia dhambi zao.
 
Nilianza kupata wasiwasi tokea Papa alipofanya mkutano wa kificho na kiongozi wa LGBT
 
Read between the lines, Anyway,

- Ni kweli sote ni wa Muumba

-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.

Ila je, amesema sio dhambi?
Wewe una akili sana kuliko huyo alianzisha huu uzi.yaan Papa akusema kuwa anasapoti hata sehemu ila amesema sio uharifu bali ni dhambi kumuelewa papa hapa wanaitajika watu wenye akili wapumbavu ndio watarukia kuwa papa anasapoti ushoga .Papa anamaanisha binadamu huwezi kumuhukumu binadamu mwenzio mwenye kutoa hukumu ni MUNGU tu
 
Read between the lines, Anyway,

- Ni kweli sote ni wa Muumba

-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.

Ila je, amesema sio dhambi?
Wewe una akili sana kuliko huyo alianzisha huu uzi.yaan Papa akusema kuwa anasapoti hata sehemu ila amesema sio uharifu bali ni dhambi kumuelewa papa hapa wanaitajika watu wenye akili wapumbavu ndio watarukia kuwa papa anasapoti ushoga .Papa anamaanisha binadamu huwezi kumuhukumu binadamu mwenzio mwenye kutoa hukumu ni MUNGU tu
 
Hii ya kutowatenga ili tuwaelimishe,hata wezi pia watataka hiki kipengele kiwepo ili wasiuwawe sasa.
Usichanganye sheria za nchi na mafundisho ya Kanisa. Mafundisho ya Kanisa mtu awe mwizi, mlevi, mchawi, kamwe hayaagizi watengwe bali wavutwe karibu kutoka popote walipo, waonyeshwe upendo na njia sahihi ya maisha.
Kanisa halina magereza ya kuwafunga, bali ina madhabahu ya kuwarudisha katika misingi ya njia ya ukweli na upendo
 
Huwezi tenganisha dhambi na uhalifu.
Siyo kila uhalifu ni dhambi, siyo kila dhambi ni uhalifu. Lakini kuna makosa, ni dhambi na uhalifu pia.
Uzinzi ni dhambi ila siyo uhalifu. Kubaka ni dhambi na pia ni uhalifu. Ujangili ni uhalifu, ni kosa lakini siyo dhambi.
 
Wapi aliposema haki za mashoga? Amezungumzia kuwa ni dhambi, ila sio uhalifu, na ni kweli kabisa. Wewe ukifumaniwa na mke wa mtu leo, hakuna sheria inayokupa adhabu, lakini ni dhambi.

Siyo kweli Sheria ya ndoa ya mwaka 1973 na marekebisho yake ya 2019 yanakataza kufanya mapenzi na mwenza wa mwingine
 
Pope aliyefariki juzi alitumia kigezo cha umri kuachia nafasi ya upapa kwa outside meaning ( maana ya nje ) lakini kwa watafiti wa mambo wanasema na ni kweli kabisa aliamua kwa maana ya ndani ambayo yeye binafsi alipinga kanisa katoliki kuwa chini ya freemason alisema atamkosea Mungu wake akaona hawezi wakwepa au pingana na freemason akaona busara akae pembeni kwa kusingizia tatizo la umri. Huwa ni nadra Sana pope kujiuzulu. Mapapa huwa wanafia madarakani.
Aliyepo ni member wa freemason hata kauli zake za kindumila kuwili yaaani anaingia KISHA anatoka kidogo kuwaacha hewani wasiojua meaning yaani anawaacha watu katikati,anakuwa anasapoti jambo indirect way. Huwezi tenganisha dhambi na uhalifu. Papa aliyekufa papa msomi aliona heri kuachia kuliko kupokea maagizo toka KWA black pope. Papa mweusi ni invisible pope lakini anatenda kazi na white pope.
 
Kwa muumini yeyote anayeijua imani yake na wajibu wake kama binadamu hapa duniani hawezi kusema hakuelewa kilichotamkwa na Pope shida watu tunataka kusikia na kulazimisha yale tunayoyataka sisi,ilibidi aseme siyo dhambi ila ni dhambi ila hao watu wapewe nafasi.

Humo kwenye statement yake amegusia suala la kuangalia utamaduni wa mahali husika Askofu anakopinga ushoga,mf;Rua'ichi wa Jimbo kuu la Dar kwa utamaduni wetu anaweza kusema ushoga ni kosa la kihalifu kutokana na sheria zetu zinakataza hivyo lakini Askofu wa Jimbo la New York pale America hawezi kusema ni kosa kisheria kwa sababu America katiba ya nchi inautambua ushoga na waumini ambao ni wananchi wa America wameambiwa wazitii mamlaka za nchi kwenye Bible.

So waumini mashoga (dini zote wapo) wataogopa kuingia humo Kanisani kwa sababu kiongozi mkuu ameshasema hawatakiwi na moja kwa moja atakuwa amejifanya Mungu kwa kuhukumu waachwe waingie kusali dhamiri zao ziwasute humo humo Kanisani.

Sijaona bado kisichoeleweka hapo.
 
Tuanze na hii. Hapa Bongo mlishawahi kusikia mtu amepelekwa mahakamani kwa kosa la kuwa shoga?
Ukisha kuwa shoga shughuli imeisha, utatafunwa mpaka unakufa, hapa Bongo wakina James delicious walishapelekwa mahakamani wakapigwa faini , wakati wa Makonda
 
Usipomtenga mdhambi ataachaje dhambi sasa.
Lazima atengwe Ili ajutie dhambi zake aone aibu afanye toba arudi kundini.
Thus mchawi ufukuzwa kijijini akiacha uchawi uruhusiwa kurejea.
 
Back
Top Bottom