Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Kwa position yake alitakiwa kulaani na kukemea nasio kutoa maneno ya faraja ya kutenganisha dhambi na ushenzi anao upamba kwa kuita si uhalifu.
 
Dhambi ni Uhalifu.
Tena uhalifu namba moja.

Kutoka 20:12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

Kutoka 20:13 Usiue.
Kutoka 20:14 Usizini.
Kutoka 20:15 Usiibe.

Kutoka 20:16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

Kutoka 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

Hizo zote ni dhambi na ni Uhalifu.

Uki entertain Ushoga kama kiongozi wa dini inamaana unapingana na Bosi wako aliyekuajiri Mungu.


Tunafahamu kuna watu wamejikuta Mashoga kutokana na kuathiriwa na matatizo ya mazingira au Saikolojia Nk.

Na kinachotakiwa ni kuwapenda na kujaribu kuwapa njia za kuondokana na hilo tatizo na sio kuanza Kuwasifia na kuwaandalia mazingira ili waongezeke.

Papa hapa Kachemka vibaya sana.
Anaendesha Dini Kimazoea.
 
Kuna watu walitegemea pope atoke aseme mashoga wote wachinjwe au wanyongwe! Jamani kaelezea vyema kwamba katika dini Ushoga ni dhambi kama dhambi zingine kwahiyo wakristo tusiwatenge mashoga kama tusivyowatenga wadhambi wengine bali tuwakaribishe kwa Bwana tuwaoneshe Ubaya wa matendo yao na tuwaombee kwa Mungu ili waache njia zao wamrudie Muumba maana wote tu watoto wa Mungu.

Ukimtenga shoga wakati mzinzi unaishi naye nyumba moja kwa Mungu hajajiongezea kitu! Lutu hakuwakimbia watu wa Sodoma aliendelea kuishi nao na kujumuika nao huku akiendelea kuwahubiria hukumi ya Mungu ikayowapata endapo wasipobadiri nyendo zao. Kama angejitenga na wale watu hata vitabu vya dini visingemwandika mpaka leo hata escort ya Malaika wa Bwana hasingeipata hivyo nafasi yake kwenye ufalme wa Mungu ingekuwa zile siti za nyuma kabisaa lakini sasa yawezekana amekaa siti za mbele au katikati
Kingine, Mungu alipokuwa anatafakari kuiangamiza hiyo Sodoma alisema angeona hata mmoja ambaye ni msafi asingeuadhibu mji ule. Akamwambia Lutu, nitafutie msafi hata mmoja mji huu utapona.

Tanzania hii iliyojaa husda, chuki, ushirikina, uongo, fitna, uzinzi na uasherati, tamaa, wizi na ufisadi, mauaji na takataka zingine nyingi, tukitokomeza ushoga kati yetu tutabaki wasafi?
 
Hahaaa

Unafirwa.
Toa W.kwenye Hilo neno lako pendwa.Mimi ningeamua kuwa Basha ningekuwa na PhD,,,, maana Mimi ni mtokambali,,ila namwogopa Mungu na ninapenda K TU,,,na katika vitu viwili ninavyopenda Mimi K ya mwanamke ni mojawapo,,,take this and note it down...

Shoga yoyote ni sub human au human scum,,, lakini watetezi wa ushoga ni takataka chafu kabisa,,hawafikii hata hadhi ya uchafu wa binadamu.
Dishonest ya mtu yoyote Alie shoga ni mbaya sana maana ameamua akili yake iwe anticlockwise na kukubali kuwa aibu na kutokushukuru familia yake iliomlea na kumleta hapa duniani.
 
Toa W.kwenye Hilo neno lako pendwa.Mimi ningeamua kuwa Basha ningekuwa na PhD,,,, maana Mimi ni mtokambali,,ila namwogopa Mungu na ninapenda K TU,,,na katika vitu viwili ninavyopenda Mimi K ya mwanamke ni mojawapo,,,take this and note it down...

Shoga yoyote ni sub human au human scum,,, lakini watetezi wa ushoga ni takataka chafu kabisa,,hawafikii hata hadhi ya uchafu wa binadamu.
Dishonest ya mtu yoyote Alie shoga ni mbaya sana maana ameamua akili yake iwe anticlockwise na kukubali kuwa aibu na kutokushukuru familia yake iliomlea na kumleta hapa duniani.
Mkuu sijui unamwogopa Mungu gani ila si yangu. Lugha ya chuki na dharau dhidi ya binadamu ni aibu tupu. Bila shaka iko miungu inayokubali lugha kama yako, ila si Mungu aliyejionyesha katika Yesu Kristo.
 
Thank you,
Tena umefanya vizuri kumtolea mfano yeye mwenyewe sababu kutwa anatuletea visa vya michepuko na watu wanachangia kwa furaha bila kuhukumu hali ya kua ni uzinzi na uzinzi umekatazwa kwenya hayo hayo maandiko yaliyokataza homosexuality, tunaona kuna mada tele za pombe na watu wanachangia kwa kupeana viwanja vya kupombeka hali ya kua Pombe imekatazwa kwenye hivyo hivyo vitabu vilivyokataza homosexuality,

Papa yupo sahihi, kama ambavyo watu wazima Me na Ke wameamua kwa hiari yao kuzini wakijua wanatenda dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao basi hivyo hivyo kwa homosexuality wanajua wakifanyacho ni dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao, iweje hao walevi, wazinzi, wasengenyaji, watoa mimba, wanyanyasa yatima na wajane, n.k wajipe ukuu wa kuwahukumu homosexuality hali ya kua wao hawajahukumiwa?

Sisi wote ni wa Mwenyeezi Mungu na kwake tutarejea tutake tusitake.

Haya soma uelewe Carlos The Jackal mbona wewe hatukuhukumu dhambi zako tumemuachia Mungu adeal na wewe
 
Wewee Acha kufananisha dhambi za Uzinzi na Dhambi ya Ushoga ,usagaji .


Hata kwenye maandiko, Kuna wazee wa Imani ,walichepuka sana lakini sio kula Tigo za wanaume .
Umejuaje kwenye kuchepuka kwao walikua hawali Tigo za hao wanaochepuka nao au wao kuliwa hizo Tigo zao? Hayo ni mambo ya vyumbani huwezi kuyajua wa nje.

Ndoa nyingi sana Wanawake wanalalamika Waume zao kuwaomba Tigo au kuliwa Tigo na hata humu tunaona nyuzi na comments za watu huona ufahari wakisema wanakula wanawake Tigo.... tofauti zao ni nini hapo?
 
Umejuaje kwenye kuchepuka kwao walikua hawali Tigo za hao wanaochepuka nao au wao kuliwa hizo Tigo zao? Hayo ni mambo ya vyumbani huwezi kuyajua wa nje..... Ndoa nyingi sana Wanawake wanalalamika Waume zao kuwaomba Tigo au kuliwa Tigo na hata humu tunaona nyuzi na comments za watu huona ufahari wakisema wanakula wanawake Tigo.... tofauti zao ni nini hapo?
Iwe mwanamke ndo analiwaa Tigo..iwe ni Tigo ya Mwanaume ndo inaliwa..huo wote ni ufirauni ulochochea Sodoma na Gomorra !!.

Kwan K hazipo?
 
328813081_572400487842888_9084435873459282296_n.jpg
 
Pelekeni Ujinga wenu huko! Kila siku mnabadilisha statement yake, Alisema kuwa sio crime bali ni dhambi.Sidhani kama mtoa mada una akili timamu
 
Back
Top Bottom