Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Tulia tulia shekhe sisi wa RC tumemwelewa baba mtakatifu

USSR
Mtachimwa na Alla kwa sababu nyie na wapagani na manadanganywa sana siku yakushtuka tayari ni siku ya mwisho
 
Unamlisha maneno ya uongo. Uongo dhambi, kama ushoga tu.
Kuwenu kama Muslims ambao hawamung'unyi maneno lipokuja swala la dhambi. Sasa nyie mnabembeleza Nini au hata mapadre baadhi ni mashoga ndo maana ya kigugumizi
 
Hivi jamani tukisema ukristo siyo dini bali ni upagani ulijificha kwenye dini Huwaga m atuelewa kweli?

Ziara ya papa DRC na sudani amekuwa akihamasisha ushoga eti waruhusiwe kuingia makanisani kwa maana nyingi anasema ushoga ruksa.

Mtu kuwa shoga ni umosefu wa màdili ya dhati ki mungu toka utotoni. Waislami Wana maadili ya kumuogopa mungu tangu watoto. Ila wakristo msisitizo ni ushoga tu na upigaji kama kimaro alivyosena.

Karibu uislamu dini ya kweli na mwenyezi mungu huko kwingine mmepotea ndugu zangu. Nyie kalieni mapombe yenu tu
Acha uongo, hujafatilia hata hizo ziara. Kila nchi ina ajenda zake na amezi address vizuri sana tena kwa misingi ya maandiko.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani tukisema ukristo siyo dini bali ni upagani ulijificha kwenye dini Huwaga m atuelewa kweli?

Ziara ya papa DRC na sudani amekuwa akihamasisha ushoga eti waruhusiwe kuingia makanisani kwa maana nyingi anasema ushoga ruksa.

Mtu kuwa shoga ni umosefu wa màdili ya dhati ki mungu toka utotoni. Waislami Wana maadili ya kumuogopa mungu tangu watoto. Ila wakristo msisitizo ni ushoga tu na upigaji kama kimaro alivyosena.

Karibu uislamu dini ya kweli na mwenyezi mungu huko kwingine mmepotea ndugu zangu. Nyie kalieni mapombe yenu tu
Ukatoliki na Ukristo ni vitu viwili tofauti. Ukristo unakataza tusiabudu sanamu. Ukristo unakataza ibada za wafu, Ukristo unakataza ulawiti na ushoga.
Ukristo unatoka kwa Kristo Ukatoliki unatoka kwenye tawala za kipagani za kale

gani
 
Kwa mnyazi hatuji alafu papa sio kiongozi wa ukristo bali ni kiongozi wa roman katoliki alafu cheki maeneo yalio sheheni ushoga kama mombasa, zenji n.k kote huko ni wazee wa msuli na barakashekh alafu unakuja ubwata bwata tu UNATAFUTA MUME?
 
Ukatoliki na Ukristo ni vitu viwili tofauti. Ukristo unakataza tusiabudu sanamu. Ukristo unakataza ibada za wafu, Ukristo unakataza ulawiti na ushoga.
Ukristo unatoka kwa Kristo Ukatoliki unatoka kwenye tawala za kipagani za kale

gani
Hapo umeongea hisia zako. Ukatoriki ndo ukristo hayo madhebu mengine yamejengwa kwa misingi ya uongo uongo na ubinafsi wa kujitafutia kipato tu na Wala hakuna mkatoliki anayeabudu sanamu hizo ni propaganda za kuchagua ukatoliki tu kwa maslahi ya kujaza waumini. Ile ni mafundisho tu kwa vitendo kama unavyofindishwa hesabu farasani halafu unapewa calculator kama mwalimu wako wakati infact siyo mwalimu Bali kifaa tu.
 
Weka amri zenu kumi tuone kama ziko sawa na alizopewa Musa

Kwani unezaliwa kipindi Cha musa au. Hizo amri uliziniaje kama siyo wasomi wa kikatoliki waliozichambua zikakufikia wewe na Sasa unajiona we ndo wa kwanza kuziona. We umeletewa biblia hiyo na haohao wakatoliki ndo mana hakuna lolote mnalolijua zaidi ya mihemko ya ki utafutaji tu kama mwamposa anayewauzia maji na mafuta kwa kupaka rangi eti ni ya upako
Weka amri zenu kumi tuone kama ziko sawa na alizopewa Musa
 
Hivi jamani tukisema ukristo siyo dini bali ni upagani ulijificha kwenye dini Huwaga m atuelewa kweli?

Ziara ya papa DRC na sudani amekuwa akihamasisha ushoga eti waruhusiwe kuingia makanisani kwa maana nyingi anasema ushoga ruksa.

Mtu kuwa shoga ni umosefu wa màdili ya dhati ki mungu toka utotoni. Waislami Wana maadili ya kumuogopa mungu tangu watoto. Ila wakristo msisitizo ni ushoga tu na upigaji kama kimaro alivyosena.

Karibu uislamu dini ya kweli na mwenyezi mungu huko kwingine mmepotea ndugu zangu. Nyie kalieni mapombe yenu tu
Heshimu dini ya wenzako usije tukaniwa dini yako ya hovyo ile ya mudi muoa vizee na vitoto vidogo vya miaka8
 
Eti waarabu wanaongoza kwa kuchokonoa jichooo...?
 
Kuwenu kama Muslims ambao hawamung'unyi maneno lipokuja swala la dhambi. Sasa nyie mnabembeleza Nini au hata mapadre baadhi ni mashoga ndo maana ya kigugumizi
ushoga upo sana pwani huko je ni muslim au kristu
 
Kwani unezaliwa kipindi Cha musa au. Hizo amri uliziniaje kama siyo wasomi wa kikatoliki waliozichambua zikakufikia wewe na Sasa unajiona we ndo wa kwanza kuziona. We umeletewa biblia hiyo na haohao wakatoliki ndo mana hakuna lolote mnalolijua zaidi ya mihemko ya ki utafutaji tu kama mwamposa anayewauzia maji na mafuta kwa kupaka rangi eti ni ya upako
Kwani unezaliwa kipindi Cha musa au. Hizo amri uliziniaje kama siyo wasomi wa kikatoliki waliozichambua zikakufikia wewe na Sasa unajiona we ndo wa kwanza kuziona. We umeletewa biblia hiyo na haohao wakatoliki ndo mana hakuna lolote mnalolijua zaidi ya mihemko ya ki utafutaji tu kama mwamposa anayewauzia maji na mafuta kwa kupaka rangi eti ni ya upako
Torati ndiyo ina amri za Musa na walikabidhiwa Wayahudi. Judaism ndio wenye torati yao.
 
Sitetei ushoga lakini sikiluzeni enyi watu mnao kremu hata maadili!

Hivi mbona hamuwazuii wezi kuingia kanisani kwani sio watoto wa Mungu?

Mbona hamuwazuii walevi kuingia kanisani…?

Mbona hamuwazuii malaya…?

Wachawi?

Mlitaka Papa awatenge mashoga lakini awaache malaya?

Papa hajaruhusu ushoga ila anasema tusiwatenge watu hao tuwapokee makanisani na kuwasaidia. Kwani hatwapikei wezi na wakosefu wengine na kuwasaidia?
 
Hello Wadau.

Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄

Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis.

Commets ziwe fupi fupi tafadhali.
Video 👇

------
Papa Francis amekosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki", akisema Mungu anawapenda watoto wake wote jinsi walivyo na kuwataka maaskofu wa Kikatoliki wanaounga mkono sheria hizo kuwakaribisha watu wa LGBTQ kanisani.

"Kuwa mpenzi wa jinsia moja si kosa," Francis alisema wakati wa mahojiano Jumanne na The Associated Press.

Francis alikiri kwamba maaskofu wa Kikatoliki katika baadhi ya sehemu za dunia wanaunga mkono sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja au kubagua jamii ya LGBTQ, na yeye mwenyewe alitaja suala hilo kwa maneno ya "dhambi".

Lakini alihusisha mitazamo hiyo na asili ya kitamaduni na kusema maaskofu hasa wanahitaji kupitia mchakato wa mabadiliko ili kutambua utu wa kila mtu.

"Maaskofu hawa wanapaswa kuwa na mchakato wa uongofu," alisema, akiongeza kwamba wanapaswa kutumia "huruma, upole, kama Mungu ana kwa kila mmoja wetu".

Baadhi ya nchi 67 au mamlaka duniani kote zinaharamisha shughuli za ngono za watu wa jinsia moja zilizokubaliwa, 11 kati ya hizo zinaweza au kutoa hukumu ya kifo, kulingana na Human Dignity Trust, ambayo inafanya kazi kukomesha sheria hizo. Wataalamu wanasema kwamba hata pale ambapo sheria hazitekelezwi, zinachangia unyanyasaji, unyanyapaa na ubaguzi dhidi ya watu wa LGBTQ.

Nchini Marekani, zaidi ya majimbo kumi na mbili bado yana sheria za kupinga mapenzi ya jinsia moja kwenye vitabu, licha ya uamuzi wa Mahakama ya Juu wa 2003 kutangaza kuwa ni kinyume cha katiba.

Umoja wa Mataifa mara kwa mara umekuwa ukitoa wito wa kukomeshwa kwa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja , ukisema zinakiuka haki za faragha na uhuru wa kutobaguliwa na ni ukiukaji wa majukumu ya nchi chini ya sheria za kimataifa kulinda haki za binadamu za watu wote, bila kujali mwelekeo wao wa kijinsia au utambulisho wa kijinsia.

Akitangaza sheria kama hizo "sio za haki", Francis alisema Kanisa Katoliki linaweza na linapaswa kufanya kazi ili kukomesha. "Lazima ifanye hivi. Ni lazima ifanye hivi,” alisema.

Francis alinukuu Katekisimu ya Kanisa Katoliki kwa kusema wapenzi wa jinsia moja lazima wapokewe na kuheshimiwa, na hawapaswi kutengwa au kubaguliwa.

"Sisi sote ni watoto wa Mungu, na Mungu anatupenda jinsi tulivyo na kwa nguvu ambayo kila mmoja wetu anapigania utu wetu," Francis alisema, akizungumza na AP katika hoteli ya Vatican anakoishi.

Sheria hizo ni za kawaida barani Afrika na Mashariki ya Kati na ni za wakati wa ukoloni wa Waingereza au zimeongozwa na sheria za Kiislamu.

Baadhi ya Maaskofu wa Kikatoliki wameziunga mkono kwa nguvu kwamba zinaendana na mafundisho ya Vatikani ambayo yanachukulia vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kuwa "vina machafuko ya asili", huku wengine wakitaka zibatilishwe kama ukiukwaji wa utu msingi wa binadamu.

Mnamo mwaka wa 2019, Francis alitarajiwa kutoa tamko la kupinga kuharamishwa kwa mapenzi ya jinsia moja wakati wa mkutano na vikundi vya haki za binadamu ambavyo vilifanya utafiti juu ya athari za sheria kama hizo na kile kinachoitwa "matibabu ya ubadilishaji".

Hatimaye, papa hakukutana na makundi, ambayo badala yake yalikutana na mtu Nambari 2 Vatikani, ambaye alithibitisha tena "hadhi ya kila mtu na dhidi ya kila aina ya vurugu".

Siku ya Jumanne, Francis alisema kuna haja ya kuwa na tofauti kati ya uhalifu na dhambi kuhusiana na mapenzi ya jinsia moja.

"mapenzi ya jinsia moja si kosa," alisema. "Sio uhalifu. Ndio, lakini ni dhambi. Sawa, lakini kwanza tutofautishe kati ya dhambi na uhalifu.”

"Pia ni dhambi kukosa hisani," aliongeza.

Mafundisho ya Kikatoliki yanashikilia kwamba ingawa wapenzi wa jinsia moja lazima waheshimiwe, vitendo vyao "vina machafuko ya asili". Francis hajabadilisha mafundisho hayo, lakini amefanya kufikia jumuiya ya LGBTQ kuwa alama mahususi ya upapa wake.

Kuanzia na tamko lake maarufu la 2013: "Mimi ni nani kuhukumu?" alipoulizwa kuhusu kasisi aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa jinsia moja , Francis ameendelea kuhudumu mara kwa mara na hadharani kwa jumuiya ya wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsia .

Akiwa askofu mkuu wa Buenos Aires, alipendelea kutoa ulinzi wa kisheria kwa wapenzi wa jinsia moja kama njia mbadala ya kuidhinisha ndoa zao, jambo ambalo mafundisho ya Kikatoliki yanakataza.

Licha ya mawasiliano hayo, Francis alikosolewa na jumuiya ya Wakatoliki wa LGBTQ kwa amri ya 2021 kutoka ofisi ya mafundisho ya Vatikani kwamba kanisa haliwezi kubariki muungano wa watu wa jinsia moja "kwa sababu Mungu hawezi kubariki dhambi".

Vatikani mwaka wa 2008 ilikataa kutia saini tamko la Umoja wa Mataifa lililotaka kukomeshwa kwa mapenzi ya jinsia moja, ikilalamika kuwa maandishi hayo yalikwenda nje ya upeo wa awali na pia yalijumuisha lugha kuhusu "mwelekeo wa kijinsia" na "utambulisho wa kijinsia" .

Katika taarifa yake wakati huo, Vatikani ilizitaka nchi kuepuka "ubaguzi usio wa haki" dhidi ya wapenzi wa jinsia moja na kukomesha adhabu dhidi yao.

Chanzo: BBC Swahili

Dini inayonyumbulika kutokana na wakati

Majanga, ndio maana Huwa sisali hii ni miradi ya watu ndio maana wanasapoti upumbavu na ushetani

Yalaaaaaaaa
Mama weeeeeeeeeee.......
Tumekwisha tumekwishaaaaaaa .......

Read between the lines, Anyway,

- Ni kweli sote ni wa Muumba

-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.

Ila je, amesema sio dhambi?

Kweli papa ni sehemu ha satanic frontier. .hapa sina neno dini ni mladi na mungu anataka uhusiano naye tu mzuri wala sio dini wala dhehebu

Nasuburi comment fupi fupi kutoka kwa wafuasi wapapa wazee wa kutubu dhambi mbele ya mwanadamu mwenzao

Ndio uhalisia huo Sasa papa wenu anawaonesha

Kuanzia leo mimi ni mkatoliki kuliko papa, huyu papa astaafu, anazeeka vibaya

Uzinzi ni dhambi kubwa sawa na ushoga nashangaa watu wanafanya Uzinzi then wanaona sio dhambi hizi nchi za Dunia ya tatu zina wajinga wengi ktk Mambo ya dini.

Bora mimi sio mkatoliki

Njoo huku tuswali Sunnah,hatubadili kitu huku hakuna mwenye mamlaka hayo
 
Back
Top Bottom