Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Unaemtaka hakupi hata golden chance, usiemtaka anakutengenezea chance mwisho wa siku bora target iwe kumaliza arostoWatu wanayachukulia mapenzi serious sana wakati hayahitaji hivyo.
Mapenzi ni quadratic eqns, muda wowote variable x au y inabadilika. Ishi kwa akili kuliko hisia.
Mwanamke anapigwa miti na mabusu tuMwanamke hapigwi mapanga au mashoka ni pambo la nyumba!
Hizo huduma tuwaachie wazazi jamani, kuhudumia mwanamke hivyo then aishie kuwekwa nje lazima mtu arukwe akili. Its like you've invested kwa biashara kubwahalafu return ni zero(minus).Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
CHAPUTA idumu mileleHapa ndio utaona umuhimu wa timu Bakari Nondo MWAMNYETO.
Baba! Kuna vijana ukidate nao hawajisikii raha kukaa bila kuhudumia ukoo mzimaHizo huduma tuwaachie wazazi jamani, kuhudumia mwanamke hivyo then aishie kuwekwa nje lazima mtu arukwe akili. Its like you've invested kwa biashara kubwahalafu return ni zero(minus).
Picha tafadhaliKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Wacha kashfa wewe mla mbwaGoba yalikuwa maficho ya majambazi kabla Shujaa Magufuli hajaingilia Kati na kuwajengea barabara za Lami
Waulize wenyeji hapo 😂Wacha kashfa wewe mla mbwa
Wala watu hawana shida ya akili.Vitu vingine ni hali yakimaumbile tu.vitu kama wivu,hasira kali ni hali ambayo viumbe wote wanavyo.Tunatofautiana kati ya mtu na mtu katika kuvumilia kwasababu ya uwingi wa vichocheo mwilini.kuvumilia halihusiani na uimara wa akili bali vichocheo vya mwili.Kila binadamu ana udhaifu mahali fulani.Kama udhaifu wako haujakutana na changamoto ni rahisi kuona waliopata changamoto zikawapelekea kufanya maamuzi mabaya ni vichaa.Hayo yote na hata zaidi unaweza kukabiliana nayo kwa njia sahihi kabisa ukiwa na afya njema ya akili.
Moto ninaopelekeaga siyo wakitoto. Halafu navyomkontrol kama mtoto mdogo vile. Angekuwa millionaire hata mimi ningekuwa. Kuna siku nilimuomba threesome na rafiki yake alikasirika sana eti akawa ananiignore na mimi nikampotezea. Akapataga kajamaa flani kutoka Sri lanka alikuja kuchuma berries summer job akawa kwa maksudi ananitambia kunifanya niwe na wivu mara kuweka picha kwenye WhatsApp profile yani dramas nyingi. Nigger nikala kimya tu ila kawivu flani kwa mbali ila sikuumia sana . Miezi ikapita nashtukia kwenye WhatsApp hi nikatabasamu tu. Mara anapiga simu sipokei. Siku moja narudi ghetto nakuta mifuko mitatu imejaa shopping ya nguvu mlangon bado nikala kimya.
Unamjengea mwanamke nyumba ya mil 30 hujamuoa si ushamba huo.vp ummejima ukamjengea nyumba let's say 20-30mls then apange kukuua ili abaki na boyfriend wake but ukang'amua mapema,utamuachua mali au!?????
Naendelea kusisitiza kama Wewe ni Mwanamke na unajua kuwa huwa unamuonjesha Mpenzi wako / Mumeo 0713 yako basi hakikisha kabisa kuwa HUMSALITI kwa Mwanaume mwingine kwani Mwanaume hapendi KUSALITIWA na akijua UNAMSALITI akli yake upesi sana hujua kuwa kama Yeye huwa unampa hiyo 0713 basi hata huyo Msela wa Nje nae umempa hivyo hujawa na HASIRA mbaya na KALI mno juu yako. Dada zangu lizingatieni sana hili nililoliandika hapa kwani litawasaidieni kuliko mnavyodhani.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Kuna wanyama porini wanauana kwasababu ya mapenzi.Usiyachukulue poa wakati dunia iko kwa ajili ya mapenzi.Binadamu ni mnyama anayeongozwa na mapenzi kwa asilimia 100.Mkuu wala mapenz hayana ukubwa kiasi hicho sema tu changamoto ya afya ya akili ni kubwa .
Ku sum up means ""LOVE YOURSELF"'Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi