mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Nchi inaendeshwa na mafia groupHaya
Ni Ongezeko la kihistoria like 16% au mimi ndio nimejichanganya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inaendeshwa na mafia groupHaya
Ni Ongezeko la kihistoria like 16% au mimi ndio nimejichanganya!
Kwa utawala wa mama, hilo ni ongezeko la kawaida na haguswi na hali zetu. Sana sana atamuuliza Madilu kama kuna namna ya kuweka tozo mpya wakusanye hela za kujengea miundombinu waliyoikopea mikopo.Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA, Petroli iliyokuwa inauzwa sh. 2,736 imepanda hadi 3,199 huku Dezeli iliyokuwa inauzwa sh. 2,544 imepanda hadi 2,935, kwa Dar es Salaam bei ambazo zitaanza kutumika kesho Jumatano, Agosti 02,2023 saa 6:01 usiku.
Aidha EWURA imesema sababu za mabadiliko ya bei hizo kwa mwezi Agosti 2023 ni changamoto za upatikanaji wa Dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, ongezeko la gharama za mafuta katika soko la dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.
Imesema kwa mwezi Agosti 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mikoa ya Tanga yatauzwa sh. 3,245 na Mtwara ni sh. 3,271.
Dkt Magufuli alisema mtanikumbukaHali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana

Huyu majaliwa alikuwa Moscow wiki hii ina maana ameshindwa kumwambia putin tununue mafuta kwa shiling vs rubble?
Tuna focus maendelea Hamia Nigeria ukaone moto.Kwa utawala wa mama, hilo ni ongezeko la kawaida na haguswi na hali zetu. Sana sana atamuuliza Madilu kama kuna namna ya kuweka tozo mpya wakusanye hela za kujengea miundombinu waliyoikopea mikopo.
Tuendelee kusali maana kadiri tunavyosogelea uchaguzi ndivyo mkwamo unavyozidi kutufungua akili
Serikali ya Nigeria inachaguliwa Dar au?Tuna focus maendelea Hamia Nigeria ukaone moto.
Mwisho Mama ataweka ruzuku in case next week month bei ikawa hivyo hivyo
Lini nilipinga?Tuliandika sana kuhusu uhaba wa dola, wewe ChoiceVariable na maroboti mengine yakapinga.
Sasa mnakubali kuwa kuna uhaba wa $$$$!!??
Mficha maradhi,kifo humuumbua.
Zaidi ya Tilioni 9 zinatumika Kwa mwaka Kwa mafuta tuu.Nishati hii itatusumbua sana, kwa sababu uagizwaji wake unategemea fedha za kigeni, na mbaya zaidi matumizi yake hayaleti fedha za kigeni; ni sawa na kutumia bila kuzalisha.
Malengo ya muda mrefu
Tujenge viwanda tuuze bidhaa zetu nje, na tusiagize bidhaa nje ambazo zinaweza kupatikana hapa nchini ( Ili kuvutia wenye uwezo wa kujenga viwanda tuboreshe sera zetu za uwekezaji pamoja na kodi) Kuboresha upande wa kilimo, hasa kuwashawishi wenye mitaji kuwekeza kwenye kilimo ili tuwe na chakula cha kutosha na ziada kuuza nje. Sekta ya utalii kufanyiwa matangazo ya kutosha, ili waje wengi na kuongeza fedha za kigeni. Kutafuta mwekezaji wa kuchimba mafuta hapa nchini Kuondolewa kwa kodi kwenye uagizaji wa mitambo pamoja na vipuli vyake toka nje.Malengo ya muda mfupi
- Kutatua hii kero kwa muda mfupi, ni kukopa fedha nje (fedha za kigeni).
- Kupunguza kiasi cha uagizwaji, ingawa italeta madhara kwenye bei kwa sababu tayari watumiaji ni wengi (dd>ss), na hapa ndipo malalamiko yalipo.
Zaidi ya Tilioni 9 zinatumika Kwa mwaka Kwa mafuta tuu.
Shida ya serikali zetu hazina plan zinazoeleweka,saizi Nchi nyingi zinafanya transition ya kuhamia Kwenye clean energy kama gas na umeme
Tanzania hatupo vitani tuna malighafi za kutosha ila Taifa limegeuka la kimachinga Kila kitu tunaagiza.kweliiii...kivipi
Hatua Kwa hatua,sio swala la overnightMatumizi makubwa ya hii ni shati kwa hapa kwetu, ni vyombo vya moto; Je, ni rahisi hivyo vyombo vya moto kuvibadilisha ili vitumie gas au umeme?, na hiyo gas tutakuwa tunaipata wapi, na je itagharimu fedha za kigeni?
Urais unampwaya nchi inateketeaHali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA, Petroli iliyokuwa inauzwa sh. 2,736 imepanda hadi 3,199 huku Dezeli iliyokuwa inauzwa sh. 2,544 imepanda hadi 2,935, kwa Dar es Salaam bei ambazo zitaanza kutumika kesho Jumatano, Agosti 02,2023 saa 6:01 usiku.
Aidha EWURA imesema sababu za mabadiliko ya bei hizo kwa mwezi Agosti 2023 ni changamoto za upatikanaji wa Dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, ongezeko la gharama za mafuta katika soko la dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.
Imesema kwa mwezi Agosti 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mikoa ya Tanga yatauzwa sh. 3,245 na Mtwara ni sh. 3,271.
Hii tozo haisaidii chochote zaidi ya kumuumiza mtu wa chini, kwa sababu ni sarafu yetu; ingekuwa ni tozo za kupata fedha za kigeni ingekuwa na maana zaidi.Kwa utawala wa mama, hilo ni ongezeko la kawaida na haguswi na hali zetu. Sana sana atamuuliza Madilu kama kuna namna ya kuweka tozo mpya wakusanye hela za kujengea miundombinu waliyoikopea mikopo.
Tuendelee kusali maana kadiri tunavyosogelea uchaguzi ndivyo mkwamo unavyozidi kutufungua akili
Akili za kushikiwa hizi unazoUrais unampwaya nchi inateketea
Viwango vya ubadilidhaji shilingi na dola wala havipangwi na soko. wanapanga wafanya biashara wa kihindi misikitini kwao. Enzi ya jpm hawakuthubutu. Nakumbuka walijaribu ndio jpm akasambaratisha bureau de change binafsi na dola ilibaki na thamani hiyihiyo sokoni kwa tshs. Ni viwango vya kupikwa ndio maana kwa mwendo huu wa samia nchi haiwezi kuondoa umaskini.Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA, Petroli iliyokuwa inauzwa sh. 2,736 imepanda hadi 3,199 huku Dezeli iliyokuwa inauzwa sh. 2,544 imepanda hadi 2,935, kwa Dar es Salaam bei ambazo zitaanza kutumika kesho Jumatano, Agosti 02,2023 saa 6:01 usiku.
Aidha EWURA imesema sababu za mabadiliko ya bei hizo kwa mwezi Agosti 2023 ni changamoto za upatikanaji wa Dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, ongezeko la gharama za mafuta katika soko la dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.
Imesema kwa mwezi Agosti 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mikoa ya Tanga yatauzwa sh. 3,245 na Mtwara ni sh. 3,271.
Baki huko hukoDaaaaah na hapa nipo Mkoa, sijui narudi vipi Mjini.