Wanasema maneno yanaumba.Temeke,buguruni,tabata,sinza, keko, mbagala,Posta sijui samaki samaki au kidimbwi kwa Insider!!
Je hakuna mashamba ya viazi na mahindi mkaotesha??π
Kwa hiyo unaona ni Sawa Jiji la Dar Salaam kujaa Maji Kwa Mvua ya Siku moja Wakati jiji liko kwanye ukingo Wa Bahari ambako Maji na mito yote Duniani inaishia hiku.Bahari ina kupwa na kujaa. Bahari ikijaa unahisi maji yataenda wapi?
Kwanza Bamvua limekaribia, walijua weye?
Mfano Upo nchi Gani Afrika?Kuna bahari kadhaa duniani zinatoa maji kuyatiririsha kuelekea katika mito
Tunashukuru kwa picha na taarifaWakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.
Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta
asa apo hatari ya nini mbna kawaida tu
Si kweliDar kwenye mafuriko ni huko uswazi
asa apo hatari ya nini mbna kawaida tu
Mafuriko yanakuwepo kigogo na jangwani.Si kweli
Hatari ni nin pale wakuu kuanguka kwenye matope?Mungu Atunusuru Lakini Nasi Wananchi Tuchukue Tahadhali Zote
Picture Ya MwAnafunzi Ni Hatari Mno