Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Hivi nyie wa Dar, Bunju si ni samaki wabaharini, mumeamua na kuvua kabisa.Bunju
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie wa Dar, Bunju si ni samaki wabaharini, mumeamua na kuvua kabisa.Bunju
[emoji23]Hivi nyie wa Dar, Bunju si ni samaki wabaharini, mumeamua na kuvua kabisa.
Siku hizi Dar mumekuwa na heshima, nguo hamuibiani tena. Mungu ametenda kwa kweliSaiv ukifua mpaka unasahau nguo kambani
Reporting from kinondoni
Wee ulikua unakaa dar ipiSiku hizi Dar mumekuwa na heshima, nguo hamuibiani tena. Mungu ametenda kwa kweli
Huyo atakua ana hasira za kenge, kukimbia matone ya mvua na kukimbilia mtoni.
kwa mfumo wetu wa umeme ulivyo nchini lzm umeme ukatwe kwanza usije ukaleta maafa zaidi.🙏🏽UMEME HAMNA TABATA MUDA HUU, MIMI NI WELDER SIKU IMEPOTEA WASALAAM.
Kwa wale wanaotumia barabara ya huko tupene altenative tupitie wap?Kutokea Banana kuingia Pugu Road kuna foleni kubwa mno. Ukiingia hiyo Pugu Road nayo kwenda mjini ni maudhi matupu.
Mvua zinyeshe huko mikoani tu, Dar haiwezi kuhimili mvua.
Du!!!! Teena!!!!!Wee ulikua unakaa dar ipi
Du!!!!kwa mfumo wetu wa umeme ulivyo nchini lzm umeme ukatwe kwanza usije ukaleta maafa zaidi.🙏🏽
Wa Dar munatuonaje lakini, maana na magari mabovu/mabaya, pia munasema wapelekewe mikoani yanawafaa.Kutokea Banana kuingia Pugu Road kuna foleni kubwa mno. Ukiingia hiyo Pugu Road nayo kwenda mjini ni maudhi matupu.
Mvua zinyeshe huko mikoani tu, Dar haiwezi kuhimili mvua.
Unaweza kuta unakaa mahenge uko. Unataka taarifa za nvua za DarWakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.
Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta
Shukrani sana kwa taarifa🙏🏽Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.
Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta
naongelea uhalisia na wala sio fahari kuwa hatuwezi kuhimili mvua. Ni fedheha kubwa kwa jiji linalojinasibu kwa ukubwa kutokuwa na miundombinu ya kumudu mvua kidogo tu.Wa Dar munatuonaje lakini, maana na magari mabovu/mabaya, pia munasema wapelekewe mikoani yanawafaa.
Bahari imehamishiwa mtaani, inasomba hadi zana za wataalam!!!!