Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024
Mtu kaingia mtaroni

Ova
20231102_091340.jpg
 
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.

Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.

Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.

Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta

Unaweza kuta unakaa mahenge uko. Unataka taarifa za nvua za Dar
 
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.

Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.

Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.

Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta

Shukrani sana kwa taarifa🙏🏽
 
Wa Dar munatuonaje lakini, maana na magari mabovu/mabaya, pia munasema wapelekewe mikoani yanawafaa.
naongelea uhalisia na wala sio fahari kuwa hatuwezi kuhimili mvua. Ni fedheha kubwa kwa jiji linalojinasibu kwa ukubwa kutokuwa na miundombinu ya kumudu mvua kidogo tu.

Jionee ufahari kutokuishi kwenye hili jiji la ovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom