Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024
Wabongo ni wabishi kimaku yaan wakiambiwaga kitu wanabisha hawataki kuamini na wanaujuaji wakishamba
Ona Sasa kinachotokea yaan mpk kitu kitokee ndy muamini!!!
Alieturoga wabongo nadhani hakuzikwa Ila alichomwa moto ili apotee tusiweze hata kumfufua arudishe akili zetu.
 
Mvua inanyesha sana hali ya machinjio ya Vinginguti ni mbaya sana. Serikali imelala wapi? Nani wa kuiamsha?
 
Screenshot_20231103-034717_Lite.jpg
 
Haiingii akilini Jiji lililopo Pembezoni mwa Bahari kujaa Maji Wakati palikua na uwezekano Wa kuelekea mitato yote baharini na Maji yakatembea Kwa Kasi.
Maji kujaa Pembezoni mwa Bahari Ina Maana Bahari imejaa hakuna pa kuelekeza Maji yanarudi nchi kavu.
Ni rahisi sana kujenge mitaro mikubwa ya Maji na kuelekeza Maji yote baharini kuliko kuacha Maji yapenye penye yenyewe kwenye mikondo iliyojaa michanga na takataka.

Waafrika ni Bure Kabisa.

Jiji Kama Dodoma ,Arusha ,Mbeya na miji ya Morogoro, Tabora ,Singida n.k ni rahisi kukumbwa na mafuriko mana hakuna Sehemu rahisi ya kuelekeza mifereji ya Maji Wakati Wa mvua kubwa.

Au mpaka waje wageni kutusaidia.
Au bahari ipo juu ya mji?
 
Umeongea kitu kizuri lakini ambacho huna uelewa nacho., unajua maana ya Sea Level!?,Sasa kuna maeneo kama jangwani ni at Sea Level, na baadhi ya sehemu Jangwani ni below Sea Level maji yakifika Jangwani ndo mwisho ndo maana huwa wanasubiri yakauke tu bahati nzuri kuna udongo wa kichanga huwa yanakauka haraka. Siku wakitoboa kuunganisha Jangwani na baharini siku hiyo bahari ikiwa inakupwa na kujaa hadi Jangwani na utakuwa mwanzo wa disaster nyingine. Umewahi kujiuliza kwanini maji ya Jiji zima la Dar es salaam mwisho wake ni Jangwani!??
Wee jamaa acha kutulisha matango pori' una uhakika kwamba circulation ya maji yote ktk mkoa wa dar inakomea jangwani?
Rudi shule kasome vzr benorious principle.
 
Umeongea kitu kizuri lakini ambacho huna uelewa nacho., unajua maana ya Sea Level!?,Sasa kuna maeneo kama jangwani ni at Sea Level, na baadhi ya sehemu Jangwani ni below Sea Level maji yakifika Jangwani ndo mwisho ndo maana huwa wanasubiri yakauke tu bahati nzuri kuna udongo wa kichanga huwa yanakauka haraka. Siku wakitoboa kuunganisha Jangwani na baharini siku hiyo bahari ikiwa inakupwa na kujaa hadi Jangwani na utakuwa mwanzo wa disaster nyingine. Umewahi kujiuliza kwanini maji ya Jiji zima la Dar es salaam mwisho wake ni Jangwani!??
Na ndio sababu Yanga hawawezi kupewa eneo la kujenga uwanja pale
Ila injinia wao kilaza wa mchongo hajui Hilo🤣😂
 
Back
Top Bottom