GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Usikute na wewe una PhD...!

Ni tanzania pekee yenye wasomi wanaoogopa kutumia akili zao na kisha kuwabagaza wanaojaribu kutumia akili kuweka uozo wote wa viongozi njaa na wenye kupenda kushibisha matumbo yao
 
kwahiyo unasema Polepole yuko Mocow? Hapana akifanya kosa hilo anarudishwa hapa sooner!

pili awataje wezi and amount stolen...tablation ya hivi itafaa sana

SNNameBank stackedYear stackedAmount
 
Nyomi ya kukusanya watu na malori
 
Usikute na wewe una PhD...!

Ni tanzania pekee yenye wasomi wanaoogopa kutumia akili zao
Wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwa masilahi binafsi, tena wale unao wafahamu kwamba uwezo wao wa kufikiri ni mzuri kutokana na elimu yao

Suspending their individual reasoning because of working towards group objectives, (working towards self-absorbed group)
 
Is it coincidence ama wewe na HPolepole ni mmoja?

Anyways, nashauri lingefanyika jambo hasa na Vyombo kuwaondoa hawa wanaotufanya tutembee hatua mbili mbele kisha kurudi 20 nyuma

Enough is enough 🙌
Kweli,
Enough is enough!!
 
Umeamua kuiasi Ccm?...
 
Alitudanganya kuwa tarehe 28.8.2025 patachimbika kwamba utafumua Dude. Wenye akili tulikupa makavu kuwa huna lolote unatapeli watu tu. Na kweli ikawa vile.

Leo umekuja unakimbia na mbeleko ya Polepole kama afisa habari wake. Siku nyingine usirudie ulimbukeni wako.
 
Reactions: Lax
Nelson alisubiri kwa zaidi ya miaka 25. Ni wenye akili fupi tu wasio elewa polepole anataka nini

Kuna na hizi zingine huku:

[Urlhttps://www.jamiiforums.com/threads/angalizo-la-polepole-la-wahuni-kuwa-kila-mahali-linaonekana-kutoeleweka-bado-hata-upinzani-sauti-ya-tanzania-tls-nk-ni-dhahiri-kuwa-nako-wapo.2381822/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…