GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawawezi kuzuia kwasababu serikali itakosa pesa kwasasa miamala ya serikali ni kwanjia ya mtandao

Vile vile kwenye jumuia huwezi kukomesha wizi bali unaweza kudhibiti

Where there are many people you can not stop stealing but you can control stealing

Pia kuna wadau wana satellite dish

Binadamu unapo muwekea mazingira magumu yeye huya rahisisha
 
Great, humu kuna watu wamelipwa na CCM kuharibu na kujaribu kutibua mazungumzo yako........Usichoke kutuhabarisha, tutee nchi yetu. Hii nchi ni yetu watanzania wote, siyo ya Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Tulia na wezi wengine. Tuipiganie nchi yetu.
Wapo wengi sana humu ndani.
 
Dah watu muda huu tayari wameshafurika kununua bando tayari usiku wa saa 3 kusikiliza. Hakika mtaa wa Lumumba naona hekaheka zimeanza katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Dola Kongwe Tawala Dar es Salaam, Tanzania.

TOKA MAKTABA :
Tarehe 11 February 2021


Safari ya Morogoro 2021 JPM alimueleza nini HP wakiwa Morogoro, ni mojawapo ya dondoo za mazungumzo ya ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=d1dno4CF9c0
 
Kikwete ndo alimpendekeza Samia awe Makamu..JPM yeye alimtaka Hussein Mwinyi. Sema Samia akapita sababu yeye ni mwanamke .
 
Sawa Mbwa wa Mafisadi naona unaendelea kupiga doria mtandaoni huku ukibweka Whow Whow Whow !
 
Haka kaChakubanga kashenzi na ni kanafiki tu.
Mi ntakaelewa siku akisema tu aliko Sa8 na waliomdungua risasi Lissu. Haya mengine yote ni kelele za mwanamke aliyeachika
 
Natabiri kuwepo kwa tatizo la internet kuanzia saa mbili usiku siku ya tarehe 29 August 2025.
 
Hana mashiko kwa sasa!
 
Acha moto uwake
 
Napenda sana hiphop, huyu Polepole Mbona ni kama ameanza kuwa 2 pac sasa.
 
A. Kuhusu biashara zote za Bwana Rostam Aziz
B. Ziara ya mwisho aliyoifanya JPM - Morogoro.
C. kuhusu kifo cha John P. Magufuli.
D. Kashfa kubwa ya sare za Jeshi la Polisi. Niliwadokezea kidooogo 900
E. Kashfa ya kukomboa ndege South Africa. Uzi iLifutwa
F. Wezi wanaficha vipi fedha zao nje/ndani. Ziko Seychelles baadhi
G. kuhusu code za Jakaya Kikwete. Mzee Cheka Cheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…