Muliro ndugu yetu hujitambui....bogus kupitiliza...tumia Common sense hata kidogo .....wazanzibar wamewazidi mnatumika bila akili ..... wenzenu wamezoea kuuana kule kwao wameishi kwa chuki na kubaguana kule kwao walisha wahi kumuua padre zanzibar na kuchoma makanisa sababu ya dini na siasa za chuki....sasa wamepenyezwa huku.....kuwa makini Muliro na TISS yenuMMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Wanatia hasira sasa..Kuna huyo afu na mwengine shotocan hawa watu sijui ni watanzania wenzetu kweli?
Padre Kitima muda huo wa saa nne usiku badala ya kuwa chumbani kwake akimeza neno la Mungu akawa baa anadudumia kumeza pombeAkiendelea kupata kinywaji😁
Yaani kuna baa kabisa?😎.... na pia kuna baa ambapo mtunyoyote huruhusuwa kuja kunywa...
Amesikika KAFIRI MMOJAABDUL NA ROSTAM NI HATARI KWA TAIFA ...NILIONYA KUHUSU WAISLAMU KUSHIKA UONGOZI WOWOTE WATU WAJINGA WA JF WAKAPINGA NA KUNIITA MJINGA ILA NAWAAPIA WATAKILI TU KUANZIA WAISLAMU WENYEWE HADI WAKRISTO HADI WAPAGANI WATAKUBALI KUWA MUISLAMU ASIWE KIONGOZI POPOTE TANZANIA AWEKWE KUNDI MOJA NA WANAWAKE ...NIKOSA KUMPA UONGOZI MWANAMKE HATA KWENYE FAMILIA.
Scapegoat huyoMMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
ulie serious mbona huna hoja my ladyMmmh hauko serious wee.
Nimeamua kupuuza hoja zako, hazina mashiko.ulie serious mbona huna hoja my lady
Muliro jinga mno linatekeleza maagizo ya bibi sultaniNi vijana wa Muliro ndiyo wamefanya shambulio hilo,huyu mzee ni mwongo sana alivyokana polisi kuwapiga na kuwavunja mikono na miguu wanachama wa Chadema hawezi kusminika tena.
Things have to changeBro pale hapako safe,kwani kwanza kuna kumbi nyingi za mikutano,kuna malazi ya watu wengi ambao huja kwenye semina na pia kuna baa ambapo mtunyoyote huruhusuwa kuja kunywa na pale getini,ukishasema tu upo kwenye semina au umekuja kunywa unaruhusiwa kuingia na huwa hawakukagui kabisa.Kwa sasa inabidi waweke ulinzi na ukaguzi imara
Bora kafiri mtenda haki kuliko muislamu muhuni tena asiye mzalendo anaye chukia uzalendo na wazalendo ...hata muhammad alifundisha hivi nisemavyo. Pale alipo waambia waislamu kuwa ikiwa jambo linatoka kwa makafiri ila ni la haki liungeni mkono ....leo waislamu wanasema shoga wetu alindwe ni muislamu mwenzetu..fisadi wetu alindwe ni muislamu mwenyetu jambazi la kiislamu lilindwe n8 muislamu mwenzetu ..hivyo waislamu wakiona mkristo anaua jambazi la kiislamu roho zinawauma kuwa muislamu mwenzetu kauliwa ....muhuni harmoniz akiingia kanisani waislamu wanadai ni muislamu mwenzaoAmesikika KAFIRI MMOJA
Kwamba ulionya waislam kushika dola means hii nchi ni ya MAKAFIRI SIO?
Tukisema kila mtu alete chuki za kidini tutakaa salama.
Kwanza uonye wewe ukiwa nani?
Hili liko dhahiri. Wanasiasa kwenye zama za mitandao, wako kazini 24/7. Na zaidi, Fr Kitima ana support kilio cha HAKI cha watanzania wengi ambao wanataka uchaguzi huru, kitu ambacho CHADEMA fanatics wanasimamia. Kanisa wanafanya kwanza uchunguzi na kama kuna umuhimu watatoa tamko rasmi. Hivi hata wewe ungekuwa ni CHADEMA fanatic, ungeacha kuonyesha wasiwasi wako kwenye hili jambo, ikizingatiwa vitisho kwa Fr vimetolewa na rais na pia makada wa CCM?Btw, why chadema fanatics watangaze hii kitu hata kabla ya kanisa?
Mbn dunia haichekMambo ya kitoto sana haya muwe mnaona hata aibu na haya matukio ya kitoto, dunia inawacheka sana.
Polisi wakiachwa wafanye uchunguzi huru na kanisa likatoa ushirikiano asilimia 100 kwenye hilo sakataMtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Waambie waitishe hayo maandamano tuone atakayejitokeza. Mabwege nyie mnawaza kuharibu amani ya nchi yetu kwa njia yoyote, Kitima ni binadamu km binadamu wengine, ana maadui na marafiki km mtu mwingine yeyote. Shida yenu mnatafuta kila upenyo lakini hamtapenya nyie nguruwe pori.Ujue taifa letu vyama vya siasa hasa upinzani havina nguvu...
Ila dini inajua kuwashika watu kama Rc wangeitisha maandamano watu wangetoka.. ila sio CHADEMA...
Tanzania ni dini na mpira ndo zinaweza amsha umma wote ukaingia barabarani...
Nilijua tu watarespond haraka sana maana hii ni hatare mbaya mno kuanzia ndani mpaka kimataifa
Bora kafiri mtenda haki kuliko muislamu muhuni tena asiye mzalendo anaye chukia uzalendo na wazalendo ...hata muhammad alifundisha hivi nisemavyo. Pale alipo waambia waislamu kuwa ikiwa jambo linatoka kwa makafiri ila ni la haki liungeni mkono ....leo waislamu wanasema shoga wetu alindwe ni muislamu mwenzetu..fisadi wetu alindwe ni muislamu mwenyetu jambazi la kiislamu lilindwe n8 muislamu mwenzetu ..hivyo waislamu wakiona mkristo anaua jambazi la kiislamu roho zinawauma kuwa muislamu mwenzetu kauliwa ....muhuni harmoniz akiingia kanisani waislamu wanadai ni muislamu mwenzao ..Ni kama wewe unaona vema kinacho endelea nchini ila unasema ni waislamu wenzetu ..muislamu yote neno HAKI kwa kwa wasio waislam ni upumbavu .Amesikika KAFIRI MMOJA
Kwamba ulionya waislam kushika dola means hii nchi ni ya MAKAFIRI SIO?
Tukisema kila mtu alete chuki za kidini tutakaa salama.
Kwanza uonye wewe ukiwa nani?
Maana kuna watu wengi tu wanavamiwa na kuumizwa lakini polisi ya tanzania haina majibu mpaka kesho.Wewe huoni uzito wa tukio? Unaona Katibu wa TEC ni sawa na hayo matukio mengine? Uliambiwa baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alikimbia? Hujaona swala la kinywaji hapo? Shirikisha vidole na ubongo wako.
Kwa nini!?CCM wanamtengenezea mazingira magumu sana mgombea wao