Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

calm down gentleman,
mke wa mtu ni sumu kali sana, majeruhi anaweza kumfuata jambazi wa mke wake mpaka madhabahuni. unafanya mchezo nini na mambo ya kuchapiwa?
Ndiyo hivyo mkanye mamako aache kudanga na mapadri asije kuwaponza!
 
Kwahiyo wewe una ushahidi kwamba samia ni jambazi?
 
siasa za africa za hovyo sana, yule dada alivyompinga heche akapigwa ngumi ya jicho dish likayumba jumla, faza nae kawakosoa kapigwa rungu la kichwa, wacha tu wengine tuwakosoe akina shilole tukae salama
 
kabisa,acha mie nimtukane mwijaku
 
Kwahiyo wewe una ushahidi kwamba samia ni jambazi?
Ushahidi wakazi gani kwenye fact Samia bushiri ni zaidi ya majambazi 1000 kama uamini subiri kaa pale 👉 utajua nini maana ya state capture naona kinachotokea kwa Zelensky na ukrain akijakufunza chochote akilini .....UJUI NINI MAANA YA STATE CAPTURE NA HATARI YAKE .
 
Unajua tusiongee kishabiki,tujitahidi kuwa waangalifu juu ta mambo haya
 
Padre Kitima muda huo wa saa nne usiku badala ya kuwa chumbani kwake akimeza neno la Mungu akawa baa anadudumia kumeza pombe

Mapadre wa sasa hivi pasua kichwa
Haki ya kula na kunywa. Mwenye kutaka kula chura na ale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…