WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Kweli kabisaVibaka wa kibibi Samia hawa. Hata ukiwa mjinga namna gani utajua hawa wametumwa kwa sababu kanisa limesema ukweli. Samia amesikika mara nyingi akitishia viongozi wa dini wanaosema ukweli.
Na kuwepo na regulatory organ (board) ya kusimamia utendaji kazi wao kama nchi nyingine ikiwemo jirani KenyaHili Jeshi livunjwe lisukwe upya.
Kete gani hizo na nani anazigusa?kete mnazo gusa kwenye hili gemu ni mbaya sana tusubiri tuone
Kwani wewe unajua ni sehemu gani aliposhambuliwa? Ilikuwepo ili uisaidie Polisi?RPC Muliro , Mungu akupe Maisha marefu, tarehe kama hii, huko mbeleni, uwe hai Licha ya Uzee wako UTAWAJIBISHWA.
Uwe Umekufa, Kaburi lako litafukuliwa!!.
Watenda mabaya wote, kaeni mkijua, IPO SIKU LAZIMA , WATANZANIA WATAWAHUKUMU TU.
HATA CHEKECHEA ANALIJUA HILIRPC Muliro , Mungu akupe Maisha marefu, tarehe kama hii, huko mbeleni, uwe hai Licha ya Uzee wako UTAWAJIBISHWA.
Uwe Umekufa, Kaburi lako litafukuliwa!!.
Watenda mabaya wote, kaeni mkijua, IPO SIKU LAZIMA , WATANZANIA WATAWAHUKUMU TU.
Muwe mnaona aibu watu wengine hawashambuliwiKwani wewe unajua ni sehemu gani aliposhambuliwa? Ilikuwepo ili uisaidie Polisi?
Muliro hana tofauti na mbwa..anafata amri ya anayempa mlo wa kila siku..ika karma yake itakua mbaya sana..atapata taabu sana!RPC Muliro , Mungu akupe Maisha marefu, tarehe kama hii, huko mbeleni, uwe hai Licha ya Uzee wako UTAWAJIBISHWA.
Uwe Umekufa, Kaburi lako litafukuliwa!!.
Watenda mabaya wote, kaeni mkijua, IPO SIKU LAZIMA , WATANZANIA WATAWAHUKUMU TU.
Ndiyo akili za CCM zimeishia hapoMuwe mnaona aibu watu wengine hawashambuliwi
Ndiyo maana IGP hajatengua uteuzi wake mpaka sasaMuliro hana tofauti na mbwa..anafata amri ya anayempa mlo wa kila siku..ika karma yake itakua mbaya sana..atapata taabu sana!
Mwisho gani tena?Ngoja tuone mwisho wake
Jinga kabisa Muliro..huenda alikuja na mama yake na si mtoto wa Muliro. Mijitu isiyokua compitent ndo inapewa ofisi kubwa ilihali wenye akili kubwa wakiachwa mtaani. Samia asipomuwajibisha basi ni dhahiri yuko nyuma ya yanayoendelea kwa sasa.Tungekuwa na utawala wa sheria alipaswa awe uteuzi wake umetenguliwa haraka sn, lakini kwa vile ni sehemu ya wadhalimu analindwa, imagine kama anaweza kumsingizia ulevi kiongozi wa kanisa kubwa hivyo nchini je wananchi wa kawaida wangapi wamefungwa kwa uongo wa mzee Muliro? muda wote anajua anajibishana na CHADEMA ndiyo akili ake imeishia hapo
Atatenguaje ikiwa naye anasubiri dokezo toka kwa binti kiziwi?Ndiyo maana IGP hajatengua uteuzi wake mpaka sasa
Unadhani kiburi na dharau anatoa wapi?Jinga kabisa Muliro..huenda alikuja na mama yake na si mtoto wa Muliro. Mijitu isiyokua compitent ndo inapewa ofisi kubwa ilihali wenye akili kubwa wakiachwa mtaani. Samia asipomuwajibisha basi ni dhahiri yuko nyuma ya yanayoendelea kwa sasa.
Hilo mbona sio siri wanajulikana tayari...na jinsi walivyoingia na muda walioingia....walikuwa idadi 3...wengine 2 walikuwa atound kama back up..... mpango umeshajulikanaa......RPC Muliro , Mungu akupe Maisha marefu, tarehe kama hii, huko mbeleni, uwe hai Licha ya Uzee wako UTAWAJIBISHWA.
Uwe Umekufa, Kaburi lako litafukuliwa!!.
Watenda mabaya wote, kaeni mkijua, IPO SIKU LAZIMA , WATANZANIA WATAWAHUKUMU TU.
Ndiyo hivyo sasa ujue system imeoza mkuu kuanzia juuAtatenguaje ikiwa naye anasubiri dokezo toka kwa binti kiziwi?
Ndiyo hao wanateka watanzania kila maraHilo mbona sio siri wanajulikana tayari...na jinsi walivyoingia na muda walioingia....walikuwa idadi 3...wengine 2 walikuwa atound kama back up..... mpango umeshajulikanaa......