Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Jibu ni Moja alimkataa Kwa sababu alifichua wizi wa pesa za Umma zikiwemo hizo bil.100 zilizokutwa nyumbani kwake.Ujumbe wake ni muhimu, unajua kwanini Magu alimkataa?. Unajua kwanini Magu alikuwa akiwakataa wasomi wenye akili huru?. aliishi na wasiwasi wa kufunikwa na uwezo wao haswa intelligence yao.
Ni kweli kabisa hakuna palipoandikwa inauzwa lakini pia hakuna palipoandikwa inakodishwa wala kupangishwa hivyo basi.
Kama haiuzwi
Kama haikodishwi
Kama haipangishwi
Maana yake ni moja tu inatolewa bure...
Zaidi Assad naye anataka kugeuka mchumia tumbo.
Maana yeye anazungumzia bandari moja tu wakati IGA inasema bandari zote Tanzania na miundombinu yake.
Mwambie kachelewa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka haraka za kutaka kutekeleza makubaliano ya huu mkataba wakati wananchi wanalalamika ni dalili tosha huu ni mkataba wa kifisadi!Sidhani makamanda wanapinga uwekezaji...
Tatizo mkataba na haraka haraka hizi..
Ofisi ya CAG ina wataalamu wa fani mbalimbali na yeye kama yeye analetewa taarifa na wafanyakazi wa chini yake. Huyo yeye kama yeye hawezi kuingia ofisi zote kukaguaHuyo ni CAG, jaribu kutafuta uelewa mpana wa kazi alizofanya kabla hujaponda maoni yake kwa kigezo kuwa yanayofautiana na fikra zako.
Huyo anakagua kila taasisi na uelewa wake kwenye masuala ya kiuchumi haumzuii kuwa na uelewa kwenye masuala ya uwekezaji pale TPA.
Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa - Biblia.
Toka mwanzo uko wazi kabisa,sema ulikua unaona ni sawa tu coz walikua ni wa upande wako,wakitoa maoni wa upande wa pili ndio unaona ni udini.Mwanzo haukuwepo ila sasa uko wazi
Na huu mkataba kwa sehemu kubwa wanaoupinga ni Wakristo na ndio waliofungua ht kesi kule Mbeya.Kitu nawapendea waislamu ni kusimama na maamuzi yoyote ya muislamu mwenzao, no mater what!
Wewe ndo umeamua kunichagulia lkn mm sijasema niko upande upiToka mwanzo uko wazi kabisa,sema ulikua unaona ni sawa tu coz walikua ni wa upande wako,wakitoa maoni wa upande wa pili ndio unaona ni udini.
kwani ndio msahafu kuwa ukiwa mkaguzi ndio unajua kila kitu, ona sasa alivyojiweka uchi kumbe kichwani ni mgonjwa, mfundisheni sio kila kitu lazima uongee, vingine vina mipaka, waache wengine pia waseme. hata TLS waliandika yeye anakwenda kichwa kichwa kwenye media,Ona sasa unabishana na aliyekuwa mdhibiti na mkaguzi wa mahesabu ya serikali yaani mashirika yote anajua kwa undani hali ya fedha ya serikali kuliko hata wewe ila sasa unambishia 😂
Huwezi kukikimbia kimvuli chako,unaonekana wazi tu.Wewe ndo umeamua kunichagulia lkn mm sijasema niko upande upi
Mkuu hawa akina Assad ndo washauri uchwara wa SamiaNi kweli kabisa hakuna palipoandikwa inauzwa lakini pia hakuna palipoandikwa inakodishwa wala kupangishwa hivyo basi.
Kama haiuzwi
Kama haikodishwi
Kama haipangishwi
Maana yake ni moja tu inatolewa bure...
Zaidi Assad naye anataka kugeuka mchumia tumbo.
Maana yeye anazungumzia bandari moja tu wakati IGA inasema bandari zote Tanzania na miundombinu yake.
Mwambie kachelewa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Assad ni fisadi mzoefu akiwa kwenye bodi ya NSSF; mradi wa DEGE BEACH ni matunda ya ufisadi wao na rafiki yake Ramadhani Kitwana Dau!!Hiyo ndio rangi halisi ya Assad.
Huyo Assad anajua chochote kuhusu Sheria?
Mambo ya sheria tuwaachie wanasheria , Asivamie fani
Shivji havamii fani ya uhasibu, siyo sahihi kwa mhasibu kuvamia fani ya sheria
Ni prof wa uchumiMambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Huyu anachoongea ni kwa sheria gani anayotumia?Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
[emoji3504]Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu..
Uelewa wake ni mpana sana kwenye masuala mengi anayoyakagua, ni mkaguzi mkuu wa serikali.Ofisi ya CAG ina wataalamu wa fani mbalimbali na yeye kama yeye analetewa taarifa na wafanyakazi wa chini yake. Huyo yeye kama yeye hawezi kuingia ofisi zote kukagua