bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Hiyo kauli ya kikwete itakuwa imelenga upande wa tanganyika tu zanzibar haimo... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Ujumbe wa JK unawahusu hao wote wanaochanganya siasa na diniRais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Wao viongozi ndio wachanganyaji wakubwa na hasa ukifikia wakati wa "chaguo la mungu" (Mungu huyu hahusiki na wizi wa kura). Mhe. Kikwete anajua CCM inao wabunge maaskofu wanaoendesha sala kila siku na hao eti wanawaomba wawaombee ili waendelee kuzibana haki zetu zaidi.Ujumbe wa JK unawahusu hao wote wanaochanganya siasa na dini
Serikali ya Tanzania ni moja na rais wa Tanzania ni mmoja japo yule naye huwa anajitutumua afanane na aliye juu yake(nitamuomba rais mwenzagu tushauriane!).Hiyo kauli ya kikwete itakuwa imelenga upande wa tanganyika tu zanzibar haimo
Rais hana dini Mwinyi anayo dini.... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Kwa hiyo mashoga wote waliojazana zenji ni waumin?... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Mimi sijauona na yeye pia hajauona ndiyo sababu ameileta hiyo ajenda.Okay, imekaaje hii. Kwani kwa Sasa Mwaka wa Kiislaamu haupo kwenye kalenda?
Ni waumini, hata wapagani ni waumini pia.Kwa hiyo mashoga wote waliojazana zenji ni waumin?
Duh...!.kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Kwani Zanzibar lini imeingizwa kwenye Tanganyika na kwa kufuata sheria ipi ?... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Sasa huko mwingine wana mapacha watatuTuanzie kwanza kwenye kutochanganya ufisadi na siasa, kabla ya dini na siasa.
Mungu anayo mipango yake ukitaka kujifanya upande wako hauhusiki Mungu atakuumbua, mhe. Mwinyi kaileta ajenda hii wakati muafaka shaba likiwa jikoni linatokota.Duh...!.
P
Kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha!Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Falsafa ya wapi,yeye mwenyewe ndiyo muhasisi wa udini, Uchaguzi Mkuu 2010 kampeni zake zilipigwa misikitini na makanisani achilia mbali miadhara ya Kiislamu ya kuwananga Wakristo na yeye akiwa kimya.Jakaya Fundi sana wa Siasa
yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu
katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa
Wachanganyaji povu linawatoka
nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye
' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '
Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?
kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
Hata ukisema kwa mafumbo, mazingira ya wakati huo, namna yako ya uwasiishaji, huwasaidia wanaosikiliza kutambua ulichokuwa umekusudia.Jakaya Fundi sana wa Siasa
yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu
katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa
Wachanganyaji povu linawatoka
nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye
' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '
Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?
kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
Mbona unazungumzia masuala ya nchi isiyokuhusu? Zanzibar ni nchi yenye katiba yake na sheria zake.