Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo
... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Hiyo kauli ya kikwete itakuwa imelenga upande wa tanganyika tu zanzibar haimo
 
Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.

Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Ujumbe wa JK unawahusu hao wote wanaochanganya siasa na dini
 
Wao viongozi ndio wachanganyaji wakubwa na hasa ukifikia wakati wa "chaguo la mungu" (Mungu huyu hahusiki na wizi wa kura). Mhe. Kikwete anajua CCM inao wabunge maaskofu wanaoendesha sala kila siku na hao eti wanawaomba wawaombee ili waendelee kuzibana haki zetu zaidi.
 
... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Kwa hiyo mashoga wote waliojazana zenji ni waumin?
 
Jakaya Fundi sana wa Siasa

yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu

katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa

Wachanganyaji povu linawatoka

nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye

' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '

Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?

kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
 
... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.
Kwani Zanzibar lini imeingizwa kwenye Tanganyika na kwa kufuata sheria ipi ?
 
Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.

Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha!
 
JK alimua kufanya damage control baada ya video yake moja ambayo ilitoka kabla ya Dr. Slaa na Mwabukusi kukamatwa kwa kosa la uhaini,watu wengi waliitumia video ile na ikatafsiriwa kuwa lile ni dongo kwa Rais Samia,ndiyo mzee mzima akaamua kutumia jukwaa la Wasabato ili kupoza makali ya video hii.
 
Jakaya Fundi sana wa Siasa

yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu

katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa

Wachanganyaji povu linawatoka

nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye

' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '

Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?

kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
Falsafa ya wapi,yeye mwenyewe ndiyo muhasisi wa udini, Uchaguzi Mkuu 2010 kampeni zake zilipigwa misikitini na makanisani achilia mbali miadhara ya Kiislamu ya kuwananga Wakristo na yeye akiwa kimya.
 
Jakaya Fundi sana wa Siasa

yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu

katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa

Wachanganyaji povu linawatoka

nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye

' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '

Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?

kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
Hata ukisema kwa mafumbo, mazingira ya wakati huo, namna yako ya uwasiishaji, huwasaidia wanaosikiliza kutambua ulichokuwa umekusudia.
Mathalani, ukifika kwenye msiba, ukapewa nafasi ya kuongea. Halafu ukaiambia hadhara ya waombolezaji: tujihadhari sana ndugu zangu, wachawi watatumaliza. Unadhani hadhara ile itatoka na ujumbe gani?
 
Back
Top Bottom