bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Hiyo kauli ya kikwete itakuwa imelenga upande wa tanganyika tu zanzibar haimo... watakuambia Zanzibar 99% ni watu wa dini hivyo kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia kwenda kutekeleza ibada ni jukumu la serikali. Tena ukizingatia rais ni wa dini hiyo hiyo huko hakuna uhusiano wowote wa kuchanganya dini na siasa.