Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Sawasawa,,,,,Hata hapa wakati wa msiba wa Nyerere marais waalikwa walipanda Mabasi maalum
Sasa hapo aibu yake nini? Namuona pia ruto yupo hapoHuko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.View attachment 2361396
Usihangaike mkuu, haters wameishiwa hoja kwahiyo sasa ni mwendo wa kuokoteza kila wanachokihisi......la kuchekesha ni kuwa kadiri wanavyoonyesha chuki zao ndivyo wanavyozidi kuonekana hamnazo mno! Sikutegemea km hawa haters ni wapuuzi hv aisee!!!!!Mbna na ruto namuona humo kwenye bajaji ya wazungu