Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Naskia museven alitaka kwenda na hii ndinga wamemgomea[emoji16]
20220919_114224.jpg
 
Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Rais wa nchi yeyote haendi sehemu bila walinzi kutangulia, Lazima walinzi wa hao viongozi walitangulia siku kadhaa kabla,na huko Bus liendako wapo
 
Huku kwetu "wakuu wa nchi" wanaingia kwa misafara. Ataanza wa Rwanda, Kenya, Tz, Botswana, nk. Wao tu kuingia ni shughuli ya masaa, huko wa malkia wote wamepandishwa Mbezi-Kivukoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanatia huruma kweli.

Afu mbona hawajavaa barakoa? [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom