Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Mbabe ndo anaingia wa mwishoView attachment 2361440View attachment 2361441
IMG20220919120650.jpg
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.View attachment 2361396
Siyo Aibu ni utaratibu umewekwa Kwa ajili ya Kupunguza Foleni. Joe Biden tu karuhusiwa kuchua Beast yake na kakwaama Mtaani.
To reduce congestion, many world leaders are arriving at the funeral on shuttle busses organised by the British government.

Belgium's King Philippe and Queen Mathilde, Spain's King Felipe and Queen Letizia, Sweden's King Carl XVI Gustaf and Queen Silvia and the Netherlands' King Willem-Alexander
 
Sura ya Samia kwenye picha unaona kabisa anajisemea leo huko bongo mbona patachimbika kwa kupanda basi hilo 😄 🤣
Patachimbika Kwa watu wajinga tu na siyo watu wenye uelewa na exposure.

Wao wenyewe kuna wakati wanatumia baiskeli kwenda kazini.
 

Na muda wa kula wakimiminiwa chakula kwenye sinia kuubwa wale pamoja sijui Mama yetu atakula mikono mingapi kabla Ruto na hao Wanaume wengine hawajamaliza chakula chote.

Tunaomba sana Mama yetu awekewe chakula chake mwenyewe.
 
Uje uminimize cost wao wakija ndio utajua hujui.

Wao hawataki kwanza ujio wa mtu wao usimamie wewe,wanasimamia wao,sisi hata tungetaka kusimamia rais wetu hapo kwao leo wangetukatalia.

Wako sahihi, maana huku kwetu viongozi ndio huwa na makundi yakuteka watu, mfano vikundi vya Magu vya watu wasiojulikana.
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.View attachment 2361396
Tuelimike kidogo😀😀😀Kila Rais iwapo atapewa just 6 Car motorcadeX50+ Marais London kutakuwa na gari ngapi?? Na je ukiongeza matajiri wa Dunia na USA president na msafara wake 100+Staff Itakuwaje?? Hili bus aliopanda Rais Samia na wengine mimi na wewe ata iweje atutolipanda! Hii imefanywa kutokana na kupunguza Trafic na Kuweka usalama makini- kulinda Bus lenye maraisi 20 ni kazi ndogo kuliko kulinda motorcade 20
 
Back
Top Bottom