Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Kwa kweli hakuna kitu cha ajabu katika hili - wao watakaua na aibu kwa sababu ya lifestyle waliojizoesha, wenzetu ulaya kuona kiongozi mkubwa anatembea kwenda mahali au kutumia baiskeli na jmbo la kawaida sana sana! Pia, huu ni utumwa! kwenda kujipendekeza kwa wazungu - in the name of diplomacy! angetulia zake tu huku na issue za panya road na tozo.
 
Acha ushamba wewe [emoji35] waliokuwa na magari yao ni rais wa marekani na Israel basi!
The rest ni mabasi!
Mijitu yenye uwelewa finyu ni shida humu jukwaani walahi!
Majitu mazima ovyooooooo walahi [emoji2959]
Una picha tuone 🤓🤓
 
Ni Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Kwanini hao wawili wasipande mabasi na wao halafu mbona SUV kama 10 zimetangulia unajua waliopanda ni akina nani?

Na nani aliyekuambia US na Israel presidents pekee ndio walipanda private cars.

una picha ya marais wa ulaya wakiwa kwenye mabasi yao?
 

Attachments

  • IMG-20220919-WA0070.jpg
    IMG-20220919-WA0070.jpg
    93.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom