Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Sioni tatizo lolote hapo kwa Rais au Marais pale tu wakiwa Wengi katika Tukio Moja Kubwa na Muhimu Kupandishwa Basi Moja.

Hii hata hapa Kwetu Tanzania ilishafanyika katika awamu ya Rais Mstaafu Kikwete na hata pia katika Awamu ya Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Na hili linafanyika Kiusalama zaidi kwani katika Mkusanyiko mkubwa wa Marais kama uliopo huko Msibani Ulinzi wa Viongozi ( VIP's ) huwa ni rahisi kama Wote wakiwa pamoja kuliko kila Rais Akilindwa kivyake na Itifaki yake kwani kuna Uwezekano mkubwa ikasababisha Usumbufu fulani utakaopelekaççv hata kupoteza muda na kuharibu Ratiba ya Tukio zima.
Umenena vyema mkuu
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
E5A5781A-F5D8-481D-AC8E-BE8F3200624B.jpeg
 
Bwana wetu Yesu Kristo alipanda punda na bado tunamwabudu. Mabasi wamepanda Viongozi wa kitaifa 99. Wapo msibani.

Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
 
Siyo Aibu ni utaratibu umewekwa Kwa ajili ya Kupunguza Foleni. Joe Biden tu karuhusiwa kuchua Beast yake na kakwaama Mtaani.
To reduce congestion, many world leaders are arriving at the funeral on shuttle busses organised by the British government.

Belgium's King Philippe and Queen Mathilde, Spain's King Felipe and Queen Letizia, Sweden's King Carl XVI Gustaf and Queen Silvia and the Netherlands' King Willem-Alexander
Aibu...usitetee ujinga
 
Acha ushamba wewe [emoji35] waliokuwa na magari yao ni rais wa marekani na Israel basi!
The rest ni mabasi!
Mijitu yenye uwelewa finyu ni shida humu jukwaani walahi!
Majitu mazima ovyooooooo walahi [emoji2959]
Usikasirike Sana, dawa ya mjinga ni kumpuuza
 
Back
Top Bottom